Uongozi wa Klabu ya Yanga leo Jumanne
Novemba 5,2019 umetangaza rasmi kumfuta kazi Kocha Mkuu wa timu hiyo
Mwinyi Zahera pamoja na benchi lake lote la ufundi hadi walinzi wa timu
hiyo.

Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Yanga Mshindo Msolla ambapo amesema Boniface Mkwasa atakaimu kama Kocha Mkuu wa muda.