Tanzania yapangiwa kundi j kufuzu kombe la dunia qatar 2022

Timu ya Taifa ya Tanzania imepangwa Kundi J katika mechi za Kufuzu kwa Kombe la Dunia Qatar 2022 hatua ya makundi Afrika