Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa
na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akipata maelekezo kutoka
Mkurugenzi wa Upendo Friends Sports Academy Bibi. Isabella Mwampamba
(kulia)alipotembelea kituo hicho ambacho kinahasanisha katika kukuza na
kuendeleza vipaji vya watoto katika sekyta ya michezo jana Jijini
Arusha.

na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na wachezaji wa mpira wa miguu wa Upendo Friends Sports Academy
jana Jijini Arusha.

na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akimpa kikombe cha mchezaji
bora kutoka shule Msingi ya Sinoni Gervas Jackson (kushoto) jana Jijini

na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Mwenye kofia) akiangalia ukumbi wa
sinema uliopo katika kituo cha Cultural Heritage kilichopo Majengo
Mbauda Jijini Arusha kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho Bw.
Saifuni Khanbhai.

Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha
Cultural Heritage Bw. Saifudin Khanbhai (kulia) akimuonyesha picha
iliyochorwa ya Nyati Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt.
Harrison Mwakyembe (Kushoto) alipotembelea kituo hicho jana Jijini