Yanga yaanza kushusha majembe mapya

Mwenyekiti wa Yanga SC, Dk Mshindo
Msolla (kulia) na Katibu Mkuu, David Luhago (kushoto) wakimshuhudia
mshambuliaji mpya, Tarik Seif Kiakala akisaini wa kujiunga na timu hiyo
leo makao makuu ya klabu, Jangwani mjini Dar es Salaam