Picha : RAIS MAGUFULI AKIONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM DODOMA

Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa wakiongozwa na
Mwenyekiti Rais John Magufuli wakiwa katika kikao cha kawaida cha
Kamati Kuu kinachoendelea katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM
Lumumba, Dar es salaam.