Magazeti ya leo jumatatu juni21,2021 * ma dc wapewa tahadhari kabla ya kuanza kazi, wenyewe watoa neno, samia aomba viongozi wa dini wamuombee, *walimu waishtukia bodi ya walimu, waikataa rasmi, *simba kutawazwa bingwa kupitia mechi yake na yanga