Matukio ya siku ya wanawake wa eac ilivyoazimishwa makao makuu ya eac jijini arusha

Kinamama wafanyabiashara wa mipakani kwenye nchi za Afrika Mashariki walioshiriki Kongamano la kuazimisha siku ya wanawake duniani wakitoa Taulo za kike kwenye shule ya Msingi Meru jijini Arusha Taulo hizo pia zimetolewa kwa shule za jamii ya wafugaji kama sehemu ya maadhimisho hayo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Sehemu ya kinamama na wanafunzi wa kike wa shule mbalimbali za msingi na Serikali wakiwa kwenye maandamano ya kuazimisha siku ya wanawake ambayo kilele chake kinaazimishwa kesho

Sehemu ya maandamano hayo kama ilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha.

Sehemu ya msaada wa Taulo la kike ambazo zimetolewa ikiwa sehemu ya maadhimisho hayo.

Wanafunzi wakishudia masaada huo wa Taulo za kike ikiwa ni sehemu ya maadhimisho hayo ya siku ya wanawake duniani.

Brass band ikiongoza maandamano ya wanaweke kutoka nchi za Afrika Mashariki na baadae Kongamano kwenye makao makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha

Meza kuu kwenye Kongamano hilo

Wanafunzi wa kike kutoka shule mbalimbali za Jiji la Arusha wakifuatilia mada mambalimbali zilizotolewa kwenye Kongamano hilo Jana jijini Arusha. 

Wanawake wakifuatilia mada kwenye Kongamano hilo

Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki EALA akitoa mada kwenye Kongamano hilo

Meza kuu wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa 

Jaji Mstaafu wa mahakama ya Rufani na Mwenyekiti Mstaafu wa TAWLA Eusebia Munuo akitoa Mada na hotuba kwenye Kongamano hilo. 

Wanawake wakifuatilia mada mbalimbali kwenye maadhimisho ya siku yao inaotarajiwa kuazimishwa kesho kote ulimwenguni.

Tunafuatilia mada kwa makini

Mada zikifuatiliwa kwa umakini mkubwa kwenye Kongamano hilo la maadhimisho ya siku ya wanawake kwenye ukumbi wa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika mashariki jijini Arusha Jana picha na Ahmed Mahmoud Arusha