Dkt.mwakyembe awataka wadau wa michezo kuendeleza michezo kimataifa kwa kuandaa washiriki

Pichani ni wadau wa Michezo wakifuatilia hotuba ya waziri wa habari
utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Mwakyembe hayupo pichani kwenye ukumbi wa
ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha leo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.
Pichani ni Makamu wa Rais wa chama cha riadha taifa William Kalaghe
akimkabidhi fedha taslim kiasi cha milioni tatu Waziri Mwakyembe zikiwa
ni kwa ajili ya maandalizi ya ushiriki wa wanariadha Failuna Abdi na
Alphonse Simbu kwa ajili ya kambi yao picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
Pichani ni wadau wa Michezo wakifuatilia hotuba ya waziri wa habari
utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Mwakyembe hayupo pichani kwenye ukumbi wa
ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha leo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.
Katibu tawala wa wilaya ya Arusha mjini David Mwaiposa akiongea kwenye
mkutano wa wadau wa vyama vya Michezo mkoani Arusha kwenye ukumbi wa
ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
Waziri wa habari Sanaa utamaduni na Michezo Harrison Mwakyembe akiongea
na viongozi wadau wa vyama vya Michezo mbali mbali mkoani Arusha kwenye
ukumbi wa ofisi ya mkoa wa Arusha kuhusiana na masuala ya Michezo
changamoto na mafanikio picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.