Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Mwanza
WAZIRI wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga amesema Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko ni mkombozi kwa wakulima hapa nchini.
Mhe.
Hasunga ameyasema hayo jana tarehe 9 Disemba 2019 alipotembelea na
kukagua maghala ya kuhifadhi nafaka na katika eneo la Mkuyuni Jijini
Mwanza.

Amevitaka
bodi hiyo kuwa ni mkombozi kwa wakulima kutokana na jukumu lake la
kuhakikisha uzalishaji wa mazao ya nafaka unaongezeka kadhalika pia bodi
hiyo inanunua mazao ya nafaka na kuyaongezea thamani.

Amesema
kwa kuanzisha kiwanda Jijini Arusha cha kusaga nafaka na kuuza, huku
kukiwa na dhamira ya kujenga kiwanda cha kuchakata Alizeti na nafaka
Jijini Dodoma itawanufaisha wananchi kwa kuuza bidhaa zilizotemgemezwa
nchini tofauti na kuuza malighafi.

kuwa dhamira ya serikali kupitia Bodi hiyo mkoani Mwanza ni kujenga
kiwanda cha kuchakata mpunga na mazao mengine hivyo bodi hiyo ni muhimu
kisekta.

Hasunga pia ameipongeza Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko kwa
kutekeleza vema maelekezo ya Serikali ya kununua na kuuza Korosho.

“Moja
ya Jukumu tulioipatia Bodi mwaka huu ni kununua na kuuza Korosho kwa
niaba ya Serikali na kazi hiyo wameifanya vizuri, wameweza kunua Korosho
yote na wanayo.” Alifafanua.

Alisema,
Bodi kama wafanyabiashara imeweza kununua Korosho na kuongeza thamani
(Ku- process) kwa kuziweka kwenye vifungashio vya viwango mbalimbali