Kampuni za simu wakisajili Wananchi wa Mji Mdogo wa Makambako laini za simu kwa alama za vidole |
Wananchi wakipata huduma ya usajili wa laini za simu kwa alama za vidole katika Mji Mdogo wa Makambako |
Kufuatia na kujitokeza kwa wingi kwa wakazi wa Makambako
na viunga vyake vya jirani katika zoezi la kupata namba za vitambulisho
vya taifa na kusajili simu Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kushirikiana
na Mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA na watoa huduma wote wa
makampuni ya simu wameongeza muda wa zoezi hilo ambapo sasa zoezi hilo
utafanyika kwa wiki nzima kuanzia Desemba 2 hadi 6 2019

Akizungumzia
maendeleo ya zoezi hilo linaloratibiwa na TCRA mkuu wa kanda ya Nyanda
za juu Kusini Mhandisi Asajile John amesema lengo la serikali ni
kuhakikisha kuwa wananchi wote wanaopata huduma za msingi kwa urahisi
hivyo kuongeza huko kwa siku kunalenga kutekeleza malengo hayo.

Amesema
huo ni muendelezo wa kampeni ya “Mnada kwa Mnada, Karibu tukuhudumie”
iliyoanzishwa na kuratibiwa na TCRA na kushirikisha wadau wengine
inayolenga kutoa elimu ya utumiaji bora na salama wa huduma za
mawasiliano na kuhamasisha usajili wa laini kwa kutumia namba za
vitambulisho vya taifa.