nde Saturday, November 23, 2019
Jumla
ya watu watatu wamefariki Dunia papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya,
baada ya kugongwa na Lori la mafuta lililoacha njia na kuparamia
watembea kwa miguu, maeneo ya Mlimani City, lililokuwa likitokea Ubungo
kwenda Mwenge.

Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mussa Taibu, amesema kuwa ajali hiyo
imetokea majira ya saa 5:20 asubuhi, ambapo mara baada ya ajali hiyo
kutokea, dereva alikimbia na kutoweka kusikojulikana.

“Dereva aliacha njia na kugonga watembea kwa miguu, kati ya watu wanne
waliogongwa watatu walifariki papo hapo na mmoja ni majeruhi amepelekwa
hospitali, mmoja aliyefariki ametambulika kwa jina la Daniel Mushi ni
fundi umeme na mkazi wa Kimara – Temboni, ni uzembe tu wa dereva maana
aliacha njia na kuparamia watembea kwa miguu” amesema Kamanda Taibu.

Kwa mujibu wa Kamanda Taibu, miili ya marehemu imehifadhiwa katika
hospitali hiyo na kwamba Jeshi la Polisi linaendelea kufanya juhudi za
kumsaka dereva huyo popote alipo.