Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania(TPB) Sabasaba Moshingi wa
tatu kushoto akikabidhi moja kati ya meza 100 na viti 100 vyenye
thamani ya shilingi Ml 4.8 kwa Mkuu wa wilaya ya Mbinga Cosmas Nshenye
kwa ajili ya shule mbili za Sekondari za Mbambi na Makita zilizopo
Halmashauri ya Mji Mbinga mkoani Ruvuma,kushoto Afisa mahusiano wa Benki
hiyo Novas Moses.

BENKI ya Posta Tanzania(TPB) imetoa msaada wa meza 100 na viti 100
vyenye thamani ya shilingi Ml 4.8 kwa shule mbili za Sekondari za
Mbambi na Makita zilizopo katika Halmashauri ya Mji Mbinga mkoani
Ruvuma.

Akikabidhi samani hizo za Shule,Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta
Tanzania Sabasaba Moshingi alisema, Benki hiyo imekuwa na utaratibu wa
kutenga kiasi fulani cha fedha kila mwaka na kusaidia jamii hasa katika
sekta ya Elimu katika mikoa mbalimbali hapa Nchini.

Alisema, mwaka wa fedha 2019 Benki ya Posta imetenga shilingi milioni
200 kwa ajili ya kuchangia huduma za jamii na itaendelea kuunga mkono
juhudi mbalimbali zinazo fanywa wananchi na Serikali.

Moshingi alisema, Benki ya Posta Tanzania inajivunia sana kuona imekuwa
sehemu ya mafanikio katika sekta ya Elimu hapa Nchini na sio mara ya
kwanza kuchangia sekta ya elimu kwani mwaka jana ilitumia kiasi cha
shilingi milioni 50 kukarabati shule ya Msingi Kindimba iliyopo katika
wilaya hiyo.

Amewataka wanafunzi wa shule hizo, kuhakikisha wanatumia meza na viti
hivyo kusoma kwa bidi na kujiepusha na mambo yanayoweza kukatisha safari
yao ya maisha na kuwataka Watanzania wengine kuunga mkono juhudi zinazo
fanywa na Benki ya Posta na Serikali ya awamu ya tano ya kumarisha
miundombinu ya Shule.

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya hiyo Cosmas Nshenye,amewataka wakazi wa
Mbinga kuwa wazalendo, na wenye mapenzi mema kwa kumaliza baadhi ya
changamoto zinazoikabili wilaya hiyo badala ya kutegemea misaada ya
Serikali na wafadhili.

Nshenye ametoa kauli hiyo jana wakati akiongea na wanafunzi,walimu na
baadhi ya wananchi katika hafla ya kupokea msaada wa viti 100 na meza
100 zilizotolewa na Benki ya Posta Tanzania kwa shule mbili za
Sekondari za Mbambi na Makita wilayani humo.

Alisema, sio jambo la kufurahisha na haipendezi hata kidogo kwa jamii
ya wana Mbinga kuona wanashindwa kuchangia ujenzi wa miradi na huduma
mbalimbali za kijamii, kwani wana uwezo mkubwa wa kifedha,lakini
inasikitisha kuona kazi kubwa ya kuijenga wilaya hiyo imeachwa kwa
Serikali na wadau wengine wa maendeleo.

Nshenye alisema, wakati umefika kwa wakazi wa wilaya ya Mbinga
kubadilika na kujitolea nguvu kwa kuchangia ujenzi wa miradi ikiwemo
miundombinu ya Elimu,Afya,Maji na mingineyo hatua itakayochochea na
kuharakisha maendeleo ya Nchi yetu.

Kwa mujibu wake,ni aibu wilaya kama ya Mbinga ambayo wananchi wake wana
nguvu kubwa ya kiuchumi inayotokana na zao maarufu la kahawa bado
inakabiliwa na changamoto ya uhaba wa madawati,viti na meza huku baadhi
ya wanafunzi wa shule wakilazimika kubeba viti kutoka nyumbani kwao.

Aidha Mkuu wa wilaya ameishukuru Benki ya Posta kwa msaada wa viti na
meza ambazo zinakwenda kupunguza mahitaji ya samani kwa shule hizo
mbili, ambapo ameyataka makampuni mengine kuiga mfano wa Benki hiyo
ambayo imekuwa msaada mkubwa katika kuchangia miundombinu ya shule kwa
wilaya ya Mbinga.

Amewataka wanafunzi kutumia meza na viti hivyo kusoma kwa bidii, hali
itakayowasaidia kufikia malengo waliyojiwekea katika safari yao ya
maisha nan a viti na meza hizo wazitumie kama chachu ya mafanikio.

Awali Mkuu wa shule ya Makita Wilson Msengi alisema, shule hiyo ina
upungufu wa viti 62 na meza 58,lakini msaada huo uliotolewa na Benki ya
Posta utapunguza sana changamoto hiyo.

Alisema,samani hizo zinakwenda kuhamasisha suala zima la kujifunzia na
kufundishia darasani na pia kuchochea taaluma kwa wanafunzi wa shule
hiyo.