Rais dkt. magufuli apokea hati za utambulisho toka kwa mabalozi wapya wa finland, umoja wa ulaya na rwanda ikulu jijini dar es salaam leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa
Balozi mteule wa Jamhuri ya Rwanda nchini Meja Jenerali Charles Karamba
kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaa leo Jumatatu
Oktoba 28, 2019


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Balozi mteule wa Jamhuri
ya Rwanda nchini Meja Jenerali Charles Karamba baada ya kupokea hati
yake ya utambulisho kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaa leo Jumatatu Oktoba 28, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa
Balozi mteule wa Jamhuri ya Finland nchini Mhe. Riita Swan kwenye hafla
fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaa leo Jumatatu Oktoba 28, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Jamhuri ya
Finland nchini Mhe. Riita Swan baada ya kupokea hati yake ya utambulisho
kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaa leo Jumatatu
Oktoba 28, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa
Balozi mteule wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Mhe. Manfredo Fanti kwenye
hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaa leo Jumatatu Oktoba
28, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi mteule
wa Umoja wa Ulaya (EU) Mhe.Manfredo Fanti baada ya kupokea hati yake ya
utambulisho kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaa leo
Jumatatu Oktoba 28,2019
PICHA NA IKULU