Serikali, sida, unesco waanza maandalizi ya ripoti ya kitaifa uanuai wa kitamaduni

Mgeni rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo (katikati) akisalimiana na Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos mara baada ya kuwasili kwenye warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi wa Sweden nchini Mh. Andres Sjoberg.

 Afisa
Mtendaji Mkuu COSOTA ambaye pia ni Mtaalamu wa Taifa wa mradi unaolenga
kutekeleza makubaliano ya UNESCO ya mwaka  2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa
Vielelezo vya Tamaduni Anuwai, Bi. Doreen Sinare akitambulisha meza kuu
(hawapo hewani) wakati wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau
mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa
taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na
Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na
kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA)
iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
Mgeni
rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo
akitoa hotuba kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Dk. Harrison Mwakyembe wakati wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo
wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji
wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi
na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na
kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA)
iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
 Mkuu
wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi
na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos akitoa salamu za
UNESCO wakati wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali
wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya
kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa
Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na kufadhiliwa
Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye
Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
 Balozi
wa Sweden nchini Mh. Andres Sjoberg akitoa salamu za SIDA wakati wa
warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya
Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya
makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo
vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na kufadhiliwa Shirika la
Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya
Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
 Mgeni
rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo
(katikati) akimkabidhi Afisa Mtendaji Mkuu COSOTA na Mtaalamu wa Taifa
wa mradi unaolenga kutekeleza makubaliano ya UNESCO ya mwaka  2005 ya
Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Tamaduni Anuwai, Bi. Doreen Sinare
cheti cha ushiriki wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau
mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa
taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na
Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na
kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA)
iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
Wanaoshuhudia tukio hilo ni Balozi wa Sweden nchini Mh. Andres Sjoberg
(kushoto) pamoja na Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa
Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos
Santos (kulia).
 Mgeni
rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo
(katikati) akimkabidhi  Bw. Maximilian Chami kutoka Tume ya Taifa ya
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni
(NATCOM-Unesco) cheti cha ushiriki wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea
uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika
uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya
Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na
UNESCO kwa ufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA)
iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
Wanaoshuhudia tukio hilo ni Balozi wa Sweden nchini Mh. Andres Sjoberg
(kushoto) pamoja na Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa
Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos
Santos (kulia).
 Mgeni
rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo
(katikati) akimkabidhi Meneja wa Programu wa Taasisi ya Culture and
Development East Africa (CDEA), Bw. Mandolin Kahindi cheti cha ushiriki
wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya
Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya
makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo
vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO kwa ufadhiliwa wa Shirika
la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya
Courtyard Protea jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio hilo ni
Balozi wa Sweden nchini Mh. Andres Sjoberg (kushoto) pamoja na Mkuu wa
Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na
Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos (kulia).
 Mgeni
rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo
(katikati) akimkabidhi Mwakilishi kutoka COSOTA Bw. Zephania Lyamula
cheti cha ushiriki wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau
mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa
taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na
Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO kwa
ufadhiliwa wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA)
iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
Wanaoshuhudia tukio hilo ni Balozi wa Sweden nchini Mh. Andres Sjoberg
(kushoto) pamoja na Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa
Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos
Santos (kulia).
 Mgeni
rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo
(katikati) akimkabidhi Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Sekta Binafsi
Tanzania (TPSF), Bi. Mwamini Mohamed cheti cha ushiriki wa warsha ya
mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu,
Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano
ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni
Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO kwa ufadhiliwa wa Shirika la Maendeleo la
Kimataifa la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard
Protea jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Balozi wa
Sweden nchini Mh. Andres Sjoberg (kushoto) pamoja na Mkuu wa Ofisi na
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni
(UNESCO) nchini, Bw. Tirso Dos Santos (kulia).
Baadhi
ya washiriki wakiwasilisha kazi za vikundi wakati wa warsha ya mafunzo
ya kuwajengea uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na
Sanaa katika uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya
mwaka 2005 ya Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai
iliyoratibiwa na UNESCO na kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa
la Sweden (SIDA) iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini
Dar es Salaam.
 Baadhi
ya washiriki waliohudhuria warsha ya mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau
mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika uandaaji wa
taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya Ulinzi na
Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na UNESCO na
kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA)
iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
Mgeni
rasmi Kaimu Katibu Mkuu wa Bodi ya Filamu Tanzania Dr. Kiagho Kilonzo
katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha ya mafunzo ya kuwajengea
uwezo wadau mbalimbali wa sekta ya Ubinifu, Utamaduni na Sanaa katika
uandaaji wa taarifa ya kitaifa ya makubaliano ya UNESCO ya mwaka 2005 ya
Ulinzi na Ukuzaji wa Vielelezo vya Utamaduni Anuwai iliyoratibiwa na
UNESCO na kufadhiliwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Sweden (SIDA)
iliyofanyika kwenye Hotel ya Courtyard Protea jijini Dar es Salaam.
***********************************
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI
ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Utamaduni, Elimu, Utamaduni
na Sayansi la Umoja wa Mataifa (UNESCO) wamezindua mafunzo ya kuandaa
ripoti ya kitaifa ya Mkataba wa UNESCO wa mwaka 2005.
 
Mkataba
huo ambao serikali ya Tanzania umetia saini mwaka 2011 unazungumzia
kulinda na kuendeleza uanuai wa kujieleza kiutamaduni.
Kwa
mujibu wa matakwa ya mkataba huo kila baada ya miaka mine mataifa
yanayotakiwa kuandika taarifa kuelezea utekelezaji wa mkataba huo. Mengi
ya mataifa ikiwamo Tanzania haijawahi kuandika  taarifa hiyo.
 
Kwa
kawaida taarifa hiyo ni mchanganyiko wa taarifa za serikali na wadau
wengine wakiwemo wa taasisi zisizo za kiserikali (AZAKI).
Fedha
za kufanyia mafunzo hayo na kuandika taarifa zimetolewa na Sweden
kupitia Mfuko wake wa Maendeleo (SIDA) chini ya uratibu wa UNESCO.
Taarifa hiyo ikishakamilika inatarajiwa kujadiliwa na wadau na kupelekwa serikalini ambako nako itapitiwa na kufikishwa UNESCO.
 
Akisoma
hotuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo kwa niaba ya Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe Kaimu Katibu Mkuu wa
Bodi ya Filamu nchini Dk. Kiagho Kilonzo, alisema kwa sasa Tanzania ipo
tayari kwa taarifa hiyo ndio maana imeunda kamati na kuanza mafunzo.
Kamati
hiyo ya kuandika Ripoti inaongozwa na Robert Mwampembwa ambaye
ikisimamiwa na Doreen Sinare, Ofisa mtendaji Mkuu wa COSATA ambaye ndiye
mtaalamu wa mradi.
 
Kwa
mujibu wa Balozi wa Sweden nchini Andres Sjoberg, ufadhili wa taifa
hilo kwa nchi 16 zinazotakiwa kuandika utekelezaji wa mkataba huo
umelenga kuhakikisha kuwa kuna uhuru wa wasanii kujieleza kiutamaduni na
hasa wanawake.
Alisema
kwa sasa dunia sio kijiji bali kutokana na mifumo ya upashanaji wa
habari kuzidi kuimarika dunia imekuwa ni moja na hivyo masuala ua
kujieleza yanabaki kuwa wazi kila mahali.
 
Naye
Dk. Harrison Mwakyembe alisema kwa sasa Tanzania iko vizuri kutokana na
kuridhia mkataba huo wa 2005 ambao lengo lake kubwa ni kutengeneza
fursa kwa wasanii kuwa karibu na soko la dunia.
Aidha
alisema kwamba nia kubwa ya makubaliano hayo ni kulinda uanuai wa
kujieleza kiutamaduni na hivyo kutengeneza mazingira ya kukua kwa
utamaduni kwa manufaa ya watu wote.
 
Kwa
mujibu wa Dk. Mwakyembe ni matarajio yake kwamba ifikapo Aprili mwakani
taarifa hiyo itakuwa imekamilika na tayari kutumika na tasnia ya
utamaduni na ubunifu na dunia pia.
Naye
Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa UNESCO Dar es Salaam, Tirso Dos Santos, 
alisema kwamba taarifa ya Tanzania itaunganishwa na mataifa mengine ili
kuelezea dunia inavyoendelea katika kutekeleza matakwa ya mkataba.
 
“Sote
tunajua kwamba Tanzania ni kitovu cha ubunifu na hasa kwa kuwa na
matamasha mbalimbali hali inayodhirisha umuhimu wa mradi huu kwa ajili
ya maendeleo maendelevu “, alisema mwakilishi huyo wa UNESCO ambapo
aliyataja matamasha makubwa ya filamu nchini ikiwamo ya ZIFF na Azam
kama moja ya uanuai wa utamaduni.