Rc shigella akutana na kufanya mazungumzo na wamiliki wapya wa kiwanda cha kuzalisha saruji cha rhino tanga

MKUU
wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na wamiliki wapya wa 
kiwanda cha Kuzalisha Saruji cha Rhino kilichopo Jijini Tanga ambao
walifika ofisini kwake kujitambulisha wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa
Jiji la Tanga Daudi Mayej

MKUU
wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na wamiliki wapya wa 
kiwanda cha Kuzalisha Saruji cha Rhino kilichopo Jijini Tanga ambao
walifika ofisini kwake kujitambulisha kushoto  ni Mkuu wa wilaya ya
Tanga Thobias Mwilapwa

VIONGOZI
mbalimbali wakifuatilia mazungumzo hayo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya
Tanga Thobias Mwilapwa na aliyevaa miwani kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la
Tanga Daudi Mayeji na Katibu Tawala wa wilaya ya Tanga (DAS) faidha
Salim