RAIS DKT MAGUFULI ATOA SHILINGI MILIONi 10 KUISAIDIA TIMU YA TAIFA YA
SOKA YA WALEMAVU (TEMBO WARRIORS) KUSHIRIKI MASHINDANO YA AFRIKA NCHINI
ANGOLA MWEZI UJAO
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Bw. Gerson Msigwa akiongea machache baada ya Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike kumkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Shilingi Milioni 10 taslimu mbele ya wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS ukiwa ni msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF) yaliyopangwa kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Septemba 22, 2019
Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akimkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Shilingi Milioni 10 taslimu mbele ya wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS ukiwa ni msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye mashindano ya mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF) yaliyopangwa kuanza Oktoba 1, mwaka huu huko nchini Angola kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Studio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es salaam
leo Septemba 22, 2019
Katibu Mkuu wa Tanzania Paralympic Committee Tuma Dandi ambaye pia ni mwanahabari wa TBC baada ya Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike kumkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (TAFF) Shilingi Milioni 10 taslimu mbele ya wachezaji na viongozi wa Timu ya Soka ya Taifa ya Soka ya Walemavu TEMBO WARRIORS ukiwa ni msaada uliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuisaidia timu hiyo kushiriki kwenye michezo ya dunia nchini Angola baadaye mwaka huu kwenye hafla fupi iliyofanyika katikastudio za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Septemba 22, 2019