Na Ahmed
Mahmoud Arusha
Mahmoud Arusha
Halmashauri
ya Jiji la Arusha limepata Fedha za nyongeza kiasi cha bilion 4,106 kwa ajili
ya ujezi wa bar

Picha ya pamoja mara baada ya kukagua eneo la ujenzi wa barabara ya Kisongo bypass itakayogharimu kiasi cha billion 4.106 hadi kukamilika mwezi januari mwakani picha na Ahmed Mahmoud Arush |
abara ya kisongo Bypass yenye urefu wa kilometa 3.44 kupitia
fedha za mradi wa TSCP inayoratibiwa na benki ya dunia chini ya Ofisi ya Rais Tamisemi
Mradi huo ambao
tarehe 27 mwezi huu umekabidhiwa na Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa Mkandarasi Kampuni ya Ujenzi ya Snohydro ya nchini china
utatekelezwa kwa muda wa miezi minne hadi Januari mwakani.

Akizungumza
mara baada ya kuukabidhi mradi huo kwa kampuni hiyo Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la
Arusha Sifael Kulanga ambaye pia ni Mwanasheria wa jiji hilo amesema kuwa mradi
huo ni wanyongeza na utatekelewa ndani ya miezi minne.

Alisema kuwa
mradi huo utasaidia kuondoa changamoto za msongamano katikati ya jiji la
Arusha na una manufaa ya moja kwa moja kwa wananchi na utasaidia usalama kwenye
uwanja mdogo wa ndege badala ya kukata katikati ya uwanja barabara hiyo
itasaidia kuchepuka pembezoni mwa uwanja.

“Barabara
hii ina umuhimu mkubwa sana katika uwanja wetu wa ndege na maeneo ya shule ya
sekondari na itafungua fursa kwa wanaowahi katikati ya jiji kutoka stand kubwa
ya mabasi ya mkoani inayotarajiwa kujengwa Olasit”

Kwa upande
wake Mhandisi wa barabara wa kampuni ya Snohydro watakaojenga barabara hiyo
Lang Yang Shang alisema kuwa wataifanya kazi hiyo ndani ya muda uliopangwa na
kwa viwango vilivyowekwa na kwa ubora.

Alisema
kuwa barabara hiyo na udogo ulipo hautawapa tabu kuikamilisha ndani ya
wakati hivyo kuweza kukamilika bila kuwepo vikwazo vyovyote hivyo kuomba
ushirikiano wakati wote wa ujenzi huo.

Awali akitoa
taarifa ya mradi huo Mhandisi Agustini
Mbuya alisema kuwa barabara hiyo ni muunganiko wa bypass na itarahisisha
mchepuko na kusaidia usalama na kuishukuru serikali ya awamu ya tano kwa
kutenga fedha hizo.

kuwa mradi huo utaanza ujenzi rasmi tarehe 11 mwezi ujao na leo ndio
makabidhiano kwa jiji kumkabidhi rasmi mkarandari kwa ajili ya Ujenzi
huo wa barabara

Nae Mstahiki
meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro alisema kuwa Barabara hiyo ni sehemu ya
mkataba uliosainiwa wiki iliyopita na utakuwa kielelezo cha kueleza jinsi
utekelezaji wa ilani ya uchaguzi kwa wananchi mwaka ujao jinsi serikali
ilivyotekeleza miradi.

Mwisho…..