Inadaiwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mmoja wa wakazi katika eneo hilo kutaka kuiba betri ya gari hilo la mafuta ndipo lilipolipuka na kuanza kuunguza watu waliokuwa wakichota mafuta yaliyomwagwa na gari hilo sanjari na watu waliokuwa jirani wakiendelea na biashara zao. Tukio hilo limethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro
Related Posts
Magazeti ya leo jumatano 19mei,2021…takukuru waumbuliwa kwa kesi za uzushi
Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Magazeti ya leo jumapili 31 julai 2022, mwinjilisti shoga asimamishwa kkkt
Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Rc mongella apongeza undp kufadhili mradi wa uhifadhi wa mazingira kwa maarifa asili arusha.
Mwandishi wetu, Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha, John Mongella amezindua mradi wa uhifadhi wa mazingira kwa kutumia maarifa…