Mkuu wa Wilaya ya Monduli Jowika Kasunga akiwa amenyaua nembo ya chama cha waandishi wa habari APC muda mfupi baada ya kuizindua. Mkuu huyo wa wilaya alifungua mkutano mkuu wa chama hicho katika eneo la Mto wa mbu wilayani Monduli na baadae kuzindua nembo hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa APC Claud Gwandu. anaecheka kulia ni Katibu wa APC, Eliya Mbonea