Mkuu wa Wilaya ya Monduli Jowika Kasunga akiwa amenyaua nembo ya chama cha waandishi wa habari APC muda mfupi baada ya kuizindua. Mkuu huyo wa wilaya alifungua mkutano mkuu wa chama hicho katika eneo la Mto wa mbu wilayani Monduli na baadae kuzindua nembo hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa APC Claud Gwandu. anaecheka kulia ni Katibu wa APC, Eliya Mbonea
Related Posts
Iran yasema mashambulizi ya leo dhidi ya marekani ni kama makofi ya uso tu
Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei amesema hii leo kwamba shambulizi la makombora kwenye kambi za kijeshi zinazotumiwa na…
Kaimu kamishna kuji aanza rasmi majukumu mapya tanapa, awavalisha vyeo vipya makamishna wasaidizi
Na Mwandishi Wetu, Arusha Kaimu Kamishna wa Uhifadhi (TANAPA), Juma Kuji amewavisha vyeo vipya makamishna wasaidizi waandamizi na kuwataka kufanya…
Mgombea udiwani kupitia chadema kata ya iwungilo aahidi neema akichaguliwa
WANANCHI Na Mwandishi Wetu, NjombeWakazi wa kata ya Iwungilo halmashauri ya mji wa Njombe wamesema ifikapo octoba 28 watamchagua kiongozi…