Kongamano la biashara kati ya tanzania na uganda lafungwa jijini dar es salaam

Waziri
wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashingwa akifunga kongamano la
Biashara kati ya Tanzania na Uganda lililofanyika jijini Dar es Salaam,
Tanzania Septemba 6-7, 2019 ambapo Kongamano hilo liliwahusisha
wafanyabishara wa nchi zote mbili na yalifunguliwa Septemba 6, 2019 na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Rais
wa Uganda Yoweri Museveni.

Wafanyabiashara wa Tanzani na Uganda wakifuatilia.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), Edwin
Rutageruka akielezea mambo machache wakati wa kongamano la Biashara kati
ya Tanzania na Uganda lililofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania
Septemba 6-7, 2019.
Waziri
wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashingwa (kulia) akiwa na Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt.
Damas Ndumbaro (kushoto) wakifuatilia kwa makini.
 Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt.
Damas Ndumbaro (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi
(TPSF) Bwana Godfrey Simbeye.
Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda wakifuatilia tukio hilo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) Bwana Godfrey Simbeye akihutubia wakati wa ufungaji wa kongamano
la Biashara kati ya Tanzania na Uganda lililofanyika jijini Dar es
Salaam, Tanzania Septemba 6-7, 2019 ambapo Kongamano hilo liliwahusisha