Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu , Benjamin William Mkapa wakati alipokagua maandalizi ya Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Julai 25, 2020 ambapo kutafanyika Ibada ya kumwombea marehemu na kuaga mwili kitaifa kuanzia kesho. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ( wa pili kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) wakati walipokagua Maandalizi ya Mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Julai 25, 2020 ambapo kutafanyika Ibada ya kumwombea marehemu na kuaga mwili kitaifa kuanzia kesho. Wa nne kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mohammed Abood na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Related Posts
Waomba serikali kudhibiti biashara ya ngono
Na Mapuli Misalaba, Shinyanga Uongozi wa serikali ya mtaa wa Jomu Kata ya Kambarage Manispaa ya Shinyanga umeiomba serikali ya…
Magazeti ya leo jumatano april 01-2020 chukua tahadhari dhidi ya corona
Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Magazeti ya leo alhamisi 15 disemba 2022
Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha