Mkurugenzi mtendaji nic apokea tuzo ya mshindi wa kwanza watoa huduma bora za bima

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la
Bima la Taifa (NIC) Dkt. Elirehema Doriye akipokea tuzo ya Mshindi wa
kwanza ya Watoa huduma Bora za Bima kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Suleiman Hemed Abdulla wakati wa
kufunga Maonesho ya 45 ya Biashara Sabasaba jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la
Bima la Taifa (NIC) Dkt. Elirehema Doriye akionesha tuzo alizopokea kwa
niaba ya Shirika hilo kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar Mhe.Suleiman Hemed Abdulla wakati wa kufunga Maonesho
ya 45 ya Biashara Sabasaba jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la
Bima la Taifa (NIC) Dkt. Elirehema Doriye katikati akiwa na baadhi ya
Watumishi wa Shrika hilo mara baada ya kukabidhiwa tuzo kutoka kwa
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed
Suleiman Abdulla wakati wa kufunga Maonesho ya 45 ya Biashara Sabasaba
jijini Dar es salaam.