Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Katarina Revocati (wa kwanza (kushoto) akiwa katika hafla hiyo na watumishi wengine wa Mahakama ya Tanzania. |
Baadhi ya watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa katika hafla hiyo.
Jaji Mkuu wa
Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (katikati) akionesha kitabu cha
maadili , wakati akizungumza na Naibu Wasajili wa Mahakama, walioapishwa
leo na Mahakimu Wakazi Wafawidhi waliokabidhiwa Nyenzo za kazi kuhusu
masuala mbalimbali ya utendaji kazi, likiwemo suala la kuzingatia
maadili ya kazi zao. (Kushoto) ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya
Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi na kulia ni Jaji Mfawidhi wa
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Beatrice Mutungi.

aji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akimkabidhi Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mhe Daniel Malik nyenzo za kazi.
Jaji Mkuu wa
Tanzania, Mhe. Prof Ibrahim Hamis Juma (katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na Naibu Wasajili aliowaapisha leo. (Kushoto) ni Jaji Kiongozi wa
Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi na kulia ni Jaji
Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Beatrice Mutungi.