Rais dkt. magufuli afungua mkutano wa mashauriano wa mwaka wa aqrb, erb, crb pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya ujenzi nchini, jijini dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wadau mbalimbali
kutoka Bodi ya Usajili Wabunifu na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), Bodi ya
Usajili Wakandarasi (CRB) Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) pamoja na
wadau wa  Sekta ya Ujenzi kabla ya kufungua mkutano huo wa Mwaka wa
Mashauriano katika Bodi na Taasisi hiyo.

Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua vifaa mbalimbali
vya Mabomba ya Maji katika viwanja vya Diamond Jubilee mara baada ya
kufungua mkutano wa Mashauriano wa Mwaka wa AQRB,CRB,ERB pamoja na Wadau
wa Sekta ya Ujenzi nchini.

Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua moja wapo ya gari
linalotumika katika ujenzi wa Miondombimbu mbalimbali katika viwanja vya
Diamond Jubilee mara baada ya kufungua mkutano wa Mashauriano wa Mwaka
wa AQRB,CRB,ERB pamoja na Wadau wa Sekta ya Ujenzi nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vitasa
mbalimbali vya Milango wakati alipopita kukagua mabanda katika maonesho
ya Wadau wa Sekta ya Ujenzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na
Charles Kitwanga Mbunge wa Misungwi mara baada ya kukagua mabanda 
katika maonesho ya Wadau wa Sekta ya Ujenzi yaliyopo katika viwanja vya
Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mchungaji
Daniel Mgogo mara baada ya kufungua mkutano huo wa Mashauriano
uliofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati
Mchungaji Daniel Mgogo alipokuwa akizungumza katika mkutano huo. PICHA
NA IKULU