Wachezaji wa Uholanzi wakipongezan baada ya ushindi mzuri wa ugenini wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Ujerumani usiku wa jana Uwanja wa Volkspark mjini Hamburg katika mchezo wa Kundi C kufuzu Euro ya mwakani. Mabao ya Uholanzi yalifungwa na Frenkie de Jong dakika ya 59, Jonathan Tah aliyejifunga dakika ya 66, Donyell Malen dakika ya 79 na Georginio Wijnaldum dakika ya 90 na ushei, wakati ya Ujerumani yalifungwa na Serge Gnabry dakika ya tisa na Toni Kroos
Related Posts
Shahidi amkaanga dc sabaya mahakamani, asema ni mtu hatari magazeti ya leo jumanne 15machi2022
Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Magazeti ya leo jumapili 19februari2023
Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Magazeti ya leo jumanne novemba 30,2021
Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha