Zanzibar heroes yapata mdhamini

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Tabia Maulid Mwita (katikati waliosimama) akishuhudia utiaji saini wa mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na udhamini kwa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), kati ya Benki ya CRDB iliyowakilishwa na Afisa Mkuu wa Biashara, Boma Raballa (kulia) Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) lililowakilishwa na Rais wake, Abdullatif Ali Yassin (katikati) pamoja na Kampuni ya Ubunifu wa Mavazi ya Sheria Ngowi chini ya Sheria Ngowi mwenyewe (kushoto). Wengine pichani ni Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), Hafidh Mohamed Ali (wapili kushoto waliosimama), Katibu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), Hussein Ahmada Vuai pamoja na Wanasheria. 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Tabia Maulid Mwita akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na udhamini kwa
timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), kati ya
Benki ya CRDB, Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) pamoja na Kampuni ya Ubunifu
wa Mavazi ya Sheria Ngowi, iliyofanyika Machi 17, 2023 kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar.
Sehemu ya wageni waliohudhulia hafla hiyo wakimsikiliza Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Tabia Maulid Mwita wakati akitoa hotuba yake.
Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na udhamini kwa
timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), kati ya
Benki ya CRDB, Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) pamoja na Kampuni ya Ubunifu
wa Mavazi ya Sheria Ngowi, iliyofanyika Machi 17, 2023 kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), Abdullatif Ali Yassin akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na udhamini kwa
timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), kati ya
Benki ya CRDB, Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) pamoja na Kampuni ya Ubunifu
wa Mavazi ya Sheria Ngowi, iliyofanyika Machi 17, 2023 kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar.
Mbunifu wa Mitindo nchin na  Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ubunifu wa Mavazi ya Sheria Ngowi Brand, Sheria Ngowi akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na udhamini kwa
timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), kati ya
Benki ya CRDB, Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) pamoja na Kampuni ya Ubunifu
wa Mavazi ya Sheria Ngowi, iliyofanyika Machi 17, 2023 kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar.
Sehemu ya Wadau wakifatilia hafla hiyo.
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikli ya aMapinduzi
Zanzibar, Tabia Maulid Mwita na Ujumbe wa Meza Kuu wakiwa katika picha
ya pamoja na  Uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF).

Picha ya Pamoja na Viongozi wa Benki  ya CRDB.

Cathbert Angelo Kajuna,
Founder and Mananging Director
Kajunason Blog,
P.O Box 6482,
Dar es Salaam.
Tel: +255 787 999 774
Alt: +255 735 997 777
www.kajunason.blogspot.com
“Everything is Possible Through Peace & Stability”

>>> DO YOUR PART TO PREVENT COVID-19:

• Wash your hands frequently • Avoid touching face

• Cover coughs and sneezes • Disinfect surfaces regularly

• Limit handshaking • Consider postponing travel plans

• Avoid large gatherings