Kamishna wa Maadili,kutoka
Sekretarieti ya maadili wa viongozi wa Umma Jaji Mstaafu,Harold Nsekela,
akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dodoma (hawapo pichani)wakati
akitoa tathmini ya hali ya urejeshaji wa tamko la rasilimali na
madeni ya viongozi wa umma.

akionyesha karatasi kwa Waandishi wa Habari jijini Dodoma (hawapo
pichani)wakati akitoa tathmini ya hali ya urejeshaji wa tamko la
rasilimali na madeni ya viongozi wa umma.

Sekretarieti ya maadili wa viongozi wa Umma Jaji Mstaafu,Harold
Nsekela,akisisitiza jambo kwa Waandishi wa Habari jijini Dodoma (hawapo

Mwaandishi wa habari kutoka gazeti
La Jiji Bw.Moses Ngw’ati akiuliza swali kwa Kamishna wa Maadili,kutoka
Sekretarieti ya maadili wa viongozi wa Umma Jaji Mstaafu,Harold
Nsekela,alipokuwa akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dodoma wakati
akitoa tathmini ya hali ya urejeshaji wa tamko la rasilimali na
madeni ya viongozi wa umma.
La Jiji Bw.Moses Ngw’ati akiuliza swali kwa Kamishna wa Maadili,kutoka
Sekretarieti ya maadili wa viongozi wa Umma Jaji Mstaafu,Harold
Nsekela,alipokuwa akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dodoma wakati
akitoa tathmini ya hali ya urejeshaji wa tamko la rasilimali na
madeni ya viongozi wa umma.
Kamishna wa Maadili,kutoka
Sekretarieti ya maadili wa viongozi wa Umma Jaji Mstaafu,Harold Nsekela,
akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari jijini Dodoma (hawapo
pichani)wakati akitoa tathmini ya hali ya urejeshaji wa tamko la
rasilimali na madeni ya viongozi wa umma.kulia ni Katibu Idara ya
Usimamizi wa Maadili John Kaole

PICHA NA ALEX SONNA-FULLSHANGWEBLOG
…………………
Na.Alex Sonna,Dodoma
Kamishna wa Maadili,kutoka
Sekretarieti ya maadili wa viongozi wa Umma Jaji Mstaafu,Harold Nsekela
,amesema kuwa jumla ya viongozi wa umma 11,330 sawa na asilimia 83 hadi
kufikia Desemba 20 mwaka huu bado hawajarejesha tamko la rasilimali na
madeni ya viongozi wa umma kwa Kamishna wa Maadili.

Hayo ameyasema leo jijini
Dodoma wakati akizungumza na Waandishi wa Habari wakati akitoa tathmini
ya hali ya urejeshaji wa tamko la rasilimali na madeni ya viongozi wa
umma.

Kamishna Nsekela amesema kuwa
hadi kufikia Desemba 20 mwaka huu, tathmini inaonesha kwamba hali ya
urejeshaji mpaka sasa sio nzuri.

Nsekela amesema sheria ya maadili
ya viongozi wa umma namba 13 ya mwaka 1995 fungu la 9 (1) (a)-(c)
linamtaka kila kiongozi wa umma aliyetajwa katika fungu la (4)
kuhakikisha anawasilisha madeni na rasimali zake katika hati rasmi.

Amesema sheria hiyo inamtaka kila
kiongozi wa umma aliyetajwa kuorodhesha kwa kamishna wa maadili rasimali
zake au Mume au watoto wenye umri usiozidi miaka 18 na ambao hawajaoa
au kuolewa ikiwa ni kwa mujibu wa kifungu kidogo cha (2) na kile kingine
cha (5).

” Kiukweli viongozi ambao
wameshawasilisha matamko yao ni wachache sana jambo ambalo halileti
taswira nzuri kwa sababu Nchi yetu imekua ikisisitiza suala la utawala
bora na kufuata sheria.

Tumetumia muda mrefu kukumbushana
na hata mimi mwenyewe katika siku ya maadili nilizungumzia umuhimu wa
viongozi kuwasilisha matamko yao lakini mpaka sasa hali siyo nzuri,”
Amesema Jaji Mstaafu Nsekela.

Jaji Mstaafu Nsekela amesema ni
wazi tangu kuingia madarakani kwa Serikali ya awamu ya tano chini ya
Rais Dk John Magufuli kumekuwepo na usimamizi mzuri wa rasimali za Nchi
hivyo kitendo cha viongozi wa umma kushindwa kuwasilisha taarifa zao ni
kurudisha nyuma maendeleo na jitihada zinazofanywa na Mhe Rais.

Amesema kushindwa kuwasilisha
tamko la rasimali na madeni katika muda uliowekwa kisheria ni kosa chini
ya fungu la 15 (a) hivyo kiongozi yeyote ambaye hatowasilisha tamko
lake Sekratarieti ya Maadili haitosita kuchukua hatua za kisheria
ikiwemo kumfikisha katika baraza la maadili.

” Naomba ieleweke pia Sheria ya
maadili inakataza kiongozi ambaye atawasilisha taarifa za uongo kwani
akifanya hivyo atakua ametenda kosa na akitiwa hatiani atatozwa faini ya
Sh Milioni Moja na si zaidi ya Sh Milioni Tano au kifungu kisichozidi
mwaka mmoja,” Amesisitiza

Aidha, amesema kuwa mwaka kesho wataanza kutumia njia ya mtandao kupokea matamko.
“Mwaka kesho wote
tunaingia katika mtandao na mambo yote yamekaa vizuri kuna leseni
ambayo tunatakiwa kuwa nayo na tutaipata.Mwaka kesho hatuingii kwenye
matamko kama haya kitakuwa kila kitu kimeisha,”amesema Jaji Mstaafu
Nsekela