Basi la kampuni ya Majinjah ambalo lilikuwa safarini kutoka Kyela kuelekea Dar, limepata ajali maeneo ya Kitonga leo.
Mashuhuda wanadai chanzo cha ajali ni kufeli kwa breki za basi hilo.
RPC Iringa amesema tayari RTO ameelekea eneo la tukio na baadae watatoa taarifa kwa undani.
Related Posts
Mkutano wa baraza la mawaziri wa sadc kufanyika tarehe 16 – 17 machi
Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)…
Kutoka kwenye kurasa za mbele na nyuma magazeti ya leo 19 Nov2024
#Waziri Mkuu Majaliwa angora zoezi la kuaga wahanga wa ajali ya Ghorofa kariakoo Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Chadema mkoa wa shinyanga watuma ujumbe mzito baada ya kuzuiliwa mkutano wa hadhara, zimamoto wawajibu
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Mhe. Emmanuel Ntobi, akionyesha majibu ya barua za zuio la kutumia uwanja wa…