Mwenyekiti
na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Infotech Investment Group ambaye
aliwahi pia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya
Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania, Ali Mufuruki (60),
amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Disemba 8, 2019 akiwa Afrika
Kusini akipatiwa matibabu.

Mufuruki
ni kati ya matajiri wakubwa 10 wa Tanzania akiwa ni mmiliki wa Kampuni
ya Infotech Investment Group Limited na maduka ya Wolworth.

Oktoba
18, 2019 Mufuruki alijiuzulu nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi wa Kampuni ya Vodacom Tanzania ili kupata muda zaidi wa
kuendelea na biashara zake.

wa sasa wa Ceort, Sanjay Rughan amethibitisha kutokea kwa kifo hicho
kilichotokea saa tisa alfajiri katika Hospitali ya Morningside.