Na Mapuli Misalaba,
Shinyanga
Hospitali ya Rufaa ya
Mkoa wa Shinyanga imeanza kutoa huduma ya upasuaji wa mifupa mirefu kwa
wagonjwa wenye changamoto hiyo inayotolewa na Madaktari bingwa.
Akizungumza na waandishi
wa habari mganga mfawidhi Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Dkt. Luzila
John amesema huduma hiyo imeanza kutolewa
tangu April 17 Mwaka huu 2023
Dkt. Luzila ameishukuru serikali ya awamu ya sita inayoongonzwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akisema tayari hospitali hiyo imepokea seti moja ya vifaa vyenye uwezo wa kuhudumia
wagonjwa 28, ambavyo ni ufadhiri kutoka
hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma
“Vifaa hivi tulivyopata tumepata seti moja ambayo ina uwezo
wa kuhudumia wagonjwa 28 kwa sasa hivi na kadri vifaa vitakavyokuwa vikitumika
tutakuwa tunaomba vingine kwa ajili ya kuendeleza huduma hii ya upasuaji wa
mifupa”.
“Kupitia huduma hii tulipata madaktari bingwa wawili kutoka
Hospitali ya Rufaa Dodoma ambao tumekuwa nao tangu Aprili 17,2023 mpaka leo kwa
ajili ya kuona wagonjwa wenye shida au changamoto ya mifupa na wengine pia
wamefanyiwa Operesheni lakini pia kuwajengea watumishi wenzetu wa Hospitali ya
Rufaa Shinyanga kuwa na uwezo wa kufanya hizo Oparesheni za mifupa”. amesema Dkt. Luzila.
Mwakilishi kutoka Hospitali
ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma Dkt. Lusekelo William, ametoa wito kwa wananchi wa
Mkoa wa Shinyanga wenye uhitaji wa huduma hiyo, kufika katika hospitali ya
rufaa ya Mkoa wa Shinyanga ili kupata matibabu hayo
Daktari bingwa wa
upasuaji, mkuu wa idara ya upasuaji Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga
Dkt. Hamis Mpigahodi ambaye ni mtaalamu
wa upasuaji wa mifupa naye amesema wananchi wa Mkoa wa Shinyanga watanufaika na huduma ya
upasuaji wa mifupa badala ya kutumia muda mwingi na gharama kusafiri kwenda
Bugando jijini Mwanza kupata huduma hiyo.
Baadhi ya wananchi wa
Mkoa wa Shinyanga waliopata matibabu hayo, wameishukuru serikali kuwasogezea
huduma hiyo muhimu ambapo wamesema itasaidia kuondoa gharama ya kufuata huduma
hiyo nje ya Mkoa wa Shinyanga.
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga imeanza kutoa huduma mpya ya Upasuaji wa mifupa ambayo
kwa muda mrefu wananchi wa Shinyanga wamekuwa wakihangaika wanapopata
changamoto ya kuvunjika kwa mifupa na kulazimika kusafiri kwenda katika
Hospitali ya Rufaa ya Bugando Jijini Mwanza.
Mganga mfawidhi Hospitali
ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Dkt. Luzila John akizungumzia juu ya upatikanaji
wa vifaa vya kufanyia upasuaji mifupa mirefu katika Hospitali hiyo ya rufaa ya
Mkoa wa Shinyanga.

wa vifaa vya kufanyia upasuaji mifupa mirefu leo April 21,2023 katika Hospitali
hiyo ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.

Hafla ya kupokea vifaa
vya kufanyia upasuaji wa mifupa mirefu ikiendelea katika ofisi yam ganga mfawidhi
wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.

ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma Dkt. Lusekelo William, akizungumzia juu ya
upatikanaji wa vifaa vya kufanyia upasuaji mifupa mirefu leo April 21,2023 katika
Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.

ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma Dkt. Lusekelo William upande wa kushoto akizungumzia juu ya
upatikanaji wa vifaa vya kufanyia upasuaji mifupa mirefu leo April 21,2023 katika
Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Mwakilishi kutoka Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma Dkt. Lusekelo William upande wa kushoto akizungumzia juu ya upatikanaji wa vifaa vya kufanyia upasuaji mifupa mirefu leo April 21,2023 katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Mwakilishi kutoka Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma Dkt. Lusekelo William upande wa kushoto akizungumzia juu ya upatikanaji wa vifaa vya kufanyia upasuaji mifupa mirefu leo April 21,2023 katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Daktari bingwa wa
upasuaji, mkuu wa idara ya upasuaji Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga
Dkt. Hamis Mpigahodi ambaye ni mtaalamu
wa upasuaji wa mifupa akizungumzia umuhimu wa huduma ya upasuaji wa
mifupa mirefu.
Vifaa vya kufanyia upasuaji wa mifupa mirefu vilivyopo katika Hospitali ya
Rufaa Mkoa wa Shinyanga
Mganga mfawidhi Hospitali
ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Dkt. Luzila John upande wa kulia akipokea Vifaa vya kufanyia upasuaji wa mifupa mirefu leo April
21,2023
Mganga mfawidhi Hospitali
ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga Dkt. Luzila John upande wa kulia akipokea Vifaa vya kufanyia upasuaji wa mifupa mirefu leo April
21,2023
Mmoja wa wanufaika wa vifaa vya kufanyia upasuaji wa mifupa mirefu akiwa
katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Mmoja wa wanufaika wa vifaa vya kufanyia upasuaji wa mifupa mirefu Bi. Sinzo
Ongalla akiwa katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Mmoja wa wanufaika wa vifaa vya kufanyia upasuaji wa mifupa mirefu Bi. Sinzo
Ongalla upande wa kulia akiwa katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.
Mmoja wa wanufaika wa vifaa vya kufanyia upasuaji wa mifupa mirefu Bw. Lotih
Nkango akiwa katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.

Nkango akizungumza na waandishi wa habari.