Maafisa wa polisi wamaliza ziara miradi ya serikali

Mhandisi Lulu Levira wa Daraja
jipya la Salender akitoa maelezo kwa Maafisa Wakuu Waandamizi na
Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi walipotembelea Mradi huo
unaoendelea na ujenzi. Picha na Jeshi la Polisi.
Mhandisi Machibya Masanja wa
Shirika la Reli Tanzania na Meneja wa Mradi wa Treni ya Mwendo kasi
awamu ya kwanza akitoa maelezo kwa Maafisa Wakuu Waandamizi na Makamanda
wa Polisi wa Mikoa na Vikosi walipotembelea Mradi huo unaoendelea na
ujenzi.
Kamishna wa Utumishi na Rasilimali
Watu CP Benedict Wakulyamba akizungumza na Meneja wa Mradi wa Treni ya
Mwendo Kasi kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro wa Kampuni ya Yapi
Markezi, wakati wa ziara ya Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi
na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika mradi huo.
Meneja wa Mradi wa Treni ya Mwendo
Kasi kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro wa Kampuni ya Yapi Markezi
Abdullah  kwa akitoa maelezo ya mradi huo kwa Maafisa Wakuu Waandamizi
wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi wakati wa
ziara ya Maafisa hao katika mradi huo unaoendelea na ujenzi. Katikati ni
Kamishna wa Utumishi na Rasilimali Watu CP Benedict Wakulyamba na kulia
ni Mhandisi Machibya Masanja wa Shirika la Reli Tanzania na Meneja wa
Mradi wa Treni ya Mwendo kasi awamu ya kwanza. Picha na Jeshi la Polisi.