Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Mkewe Mary wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mwanasiasa mkongwe na
Mwenyekiti wa zamanı wa CCM wa wilaya ya Ruangwa, Kaspar Selemani Mmuya
katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu katika kijiji cha
Nangumbu kwenye kitongoji cha Mtakuja wilayani Ruangwa, Novemba 5, 2019

Mkewe Mary wakitupa udongo kwenye kaburi la mwanasiasa mkongwe na

Nangumbu kwenye kitongoji cha Mtakuja wilayani Ruangwa, Novemba 5,
2019.

Waombolezaji wakiwa wamebeba
jeneza la mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa zamanı wa CCM wa wilaya ya
Ruangwa, Kaspar Selemani Mmuya katika mazishi yaliyofanyika nyumbani
kwa marehemu katika kijiji cha Nangumbu kwenye kitongoji cha Mtakuja
wilayani Ruangwa, Novemba 5, 2019.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa
ameshiriki katika mazishi ya mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa zamani
wa CCM wa wilaya ya Ruangwa, Bw. Kaspar Selemani Mmuya yaliyofanyika
kwenye Kitongoji cha Mtakuja, kijiji cha Nangumbu wilaya ya Ruangwa
mkoani Lindi.

Akizungumza katika mazishi
hayo, Waziri Mkuu amesema marehemu Bw. Mmuya enzi za uhai wake alitoa
ushirikiano mzuri kwa viongozi na wananchi wa Ruangwa kwa ujumla na
wakati wote alikuwa tayari kutoa ushauri katika masuala ya siasa na
uongozi.

Waziri Mkuu ambaye pia ni
mbunge wa jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, ameshiriki katika mazishi ya
mwanasiasa huyo mkongwe yaliyofanyika leo (Jumanne, Novemba 5, 2019).
Amesema marehemu alikuwa kiongozi makini na mwenye kupenda ushirikiano.

“Marehemu alikuwa kiongiozi
wangu na mshauri wa masuala ya siasa na kijamii wakati wote nilipomuomba
au yeye mwenyewe alipoona iko haja ya kufanya hivyo. Wakati wote wa
uhai wake alikuwa tayari kusikiliza na kushauri, “ alisisitiza Waziri
Mkuu .

Mazishi hayo pia yamehudhuriwa
na Naibu Waziri wa Nchi OWM – Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira,
Vijana, Anthony Mavunde, Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi,
Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Lindi, Fadhili Juma, Viongozi wa chama cha
Walimu Tanzania wa Mkoa wa Lindi na Wilaya ya Ruangwa pamoja na
viongozi wa Serikali na vyama vya Siasa.

Mapema leo asubuhi Mheshimiwa Majaliwa alishiriki katika kikao cha Bunge kwenye ukumbi wa Bunge jijini Dodoma.