Waziri dkt. mwakyembe; vyombo vya habari ni mwalimu

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe akifungua mkutano wa wadau wa habari jijini Arusha unaouhusu Siku ya Kimataifa ya Kukomesha uhalifu dhidi ya waandishi wa habari.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe (katikati) akisisitiza jambo wakati ufunguzi wa mkutano wa wadau wa habari jijini Arusha kuhusu Siku ya Kimataifa ya Kukomesha uhalifu dhidi ya waandishi wa habari. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) Tirso Dos Santos (kushoto).
Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) Tirso Dos Santos, akitoa salamu za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres wakati ufunguzi wa mkutano wa wadau wa habari jijini Arusha unaouhusu Siku ya Kimataifa ya Kukomesha uhalifu dhidi ya waandishi wa habari.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na Mkuu akimkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe (hayupo pichani) wakati ufunguzi wa mkutano wa wadau wa habari jijini Arusha kuhusu Siku ya Kimataifa ya Kukomesha uhalifu dhidi ya waandishi wa habari.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe akiwapongeza vijana Mussa Kalokola (kushoto) na Michael Kimollo (kulia) kutoka Kampuni ya Hype Interactive Ltd ya jijini Dar es salaam kwa kwa kubuni na kutengeneza mfumo ambao ni wa kwanza kutumika duniani unaowezesha kupatikana taarifa na takwimu za wanahabari wanaopata
madhila mbalimbali wanapotimiza majukumu yao.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa wadau wa habari unaoendelea jijini Arusha
wakimsikiliza mgeni rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano huo unaouhusu Siku ya Kimataifa ya Kukomesha uhalifu dhidi ya waandishi wa habari.
Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Habari ya UNESCO Tanzania Nancy Kaizilege
akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo aweze kumkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe wakati ufunguzi wa mkutano wa wadau wa habari jijini Arusha kuhusu Siku ya Kimataifa ya Kukomesha uhalifu dhidi ya waandishi wa habari.
Mmoja wa washiriki wa mkutano wa wadau wa habari unaofanyika jijini Arusha Jesse Kwayu ambaye pia ni Mwakilishi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe baada ya ufunguzi wa mkutano huo unaohusu Siku ya Kimataifa ya Kukomesha uhalifu dhidi ya waandishi wa habari.