Na Mapuli Misalaba, Shinyanga
Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa
Shinyanga imefanikiwa kukusanya kodi kiasi cha shilingi Bilioni 32.8 sawa na
asilimia 82.21 ya lengo lililokusudiwa kwa Mwaka wa fedha 2022/2023.
Hayo yameelezwa na Naibu
mkurugenzi wa fedha TRA makao makuu Bi. Anna Mndeme kwenye kilele cha
maadhimisho ya siku ya shukurani kwa mlipa kodi iliyofanyika katika viwanja vya
zimamoto Nguzonane Manispaa ya Shinyanga
Amesema mafanikio hayo ni matokeo ya
walipa kodi wazalendo na waandilifu wanaounga mkono juhudi za serikali katika
kusukuma maendeleo.
“Kwa
kuwa leo ni kilele cha maadhimisho ya siku ya shukurani nitumie nafasi hii
kutambua mchango mkubwa wa wateja wetu yaani walipa kodi na wadau mbalimbali
ambao ndiyo kipekee wanatuwezesha TRA Mkoa wa Shinyanga kufikia malengo ya
makusanyo ya kodi tuliyopewa na serikali”.
“Mwaka
wa fedha 2022/2023 mamlaka imefanikiwa kukusanya kodi kiasi ya cha Bilioni 32.8
ukusanyaji huu ni ufanisi wa asilimia 82.21 ya lengo la kukusanya ambalo
tulipewa Mwaka huo”.
Katika maadhimisho hayo TRA Mkoa wa
Shinyanga imewapongeza walipa kodi wote, kuwatambua na kuwatunuku vyeti na
zawadi mbalimbali walipa kodi na wadau wengine ambao wameonyesha mchango mkubwa
kwa mamlaka hiyo.
Afisa elimu na mawasiliano kwa mlipakodi
Semeni Mbeshi ametaja baadhi ya majira ya washindi wa tuzo hizo ambapo kituo
cha matangazo Radio Faraja FM kimeshinda tunzo katika nafasi ya chombo cha
habari kinachosaidia kueneza zaidi elimu ya kodi kwa wafanyabiashara Mkoa wa
Shinyanga.
“Taasisi ya kwanza ambayo imeonyesha
ushirikiano na TRA ni ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, ofisi nyingine ni
ofisi ya RSO , ofisi nyingine ni ofisi ya kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa
Shinyanga anayefuata ni vyombo vya habari
ambavyo vimeweza kuwa msaada katika kueneza masuala ya yetu ya kodi ikiwemo
elimu ya kodi cheti kinaenda kwenye Redio ambayo inaitwa Redio Faraja”.amesema
Semeni Mbeshi
Meneja wa TRA Mkoa wa Shinyanga Bwana
Faustine Mdessa amesema katika maadhimisho hayo mamlaka hiyo yamekwenda sanjari na kutoa msaada kwa watu wenye uhitaji ikiwemo kituo cha
wazee na wasiojiweza kolandoto pamoja na kutoa msaada wa Tenki la maji katika
Hospitali ya Wilaya ya Kishapu.
Akizungumza mgeni rasmi kwa niaba ya mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga, Mkuu wa Wilaya ya Kahama Bi. Mboni Mhita ameipongeza TRA
Mkoa wa Shinyanga kwa kutambua mchango wa walipakodi huku akiwakumbusha walipakodi
kuendelea kulipa kodi kwa hiyari.
DC Mhita amewataka wafanyabiashara kutoa
lisiti kwa kutumia mashine sahihi za EFD wakati wa mauzo huku akiwakumbusha
wanunuzi kudai lisiti wakati wa kuchukua bidhaa kwa wafanyabishara hali
itakayosaidia kuziba mianya ya ubotevu wa fedha.
Mstahiki meya wa Manispaa ya Shinyanga
Elias Ramadhan Masumbuko na Mwenyekiti wa TCCA Mkoa wa Shinyanga Jonathan
Manyama wamewaomba wakazi wa Mkoa wa Shinyanga kuendelea kulipa kodi kwa hiyari.
Kauli mbiu ya
maadhimisho hayo ni ‘KODI YETU. MAENDELEO YETU. TUWAJIBIKE’.
Awali yakiendelea matembezi ya hiyari kwa
watumishi wa TRA, walipa kodi pamoja na wanafunzi wa klabu za kodi kutoka
katika shule na vyuo mbalimbali Mkoani Shinyanga.

Wananchi wakiwa katika kilele cha
maadhimisho ya siku ya shukurani kwa mlipa kodi yaliyofanyika katika uwanja vya
zimamoto Nguzonane Manispaa ya Shinyanga ambayo yameandaliwa na TRA Mkoa wa

Baadhi ya walipa kodi wakifuatilia kilele cha maadhimisho ya siku ya
shukurani kwa mlipa kodi ambayo yameandaliwa na TRA Mkoa wa Shinyanga.

Watumishi wa TRA wakiwa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya shukurani
kwa mlipa kodi ambayo yamefanyika katika uwanja wa Zimamoto Nguzonane Manispaa
ya Shinyanga.

Anna Mndeme akizungumza kwenye kilele
cha maadhimisho ya siku ya shukurani kwa mlipa kodi.
Viongozi mbalimbali wakiwa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya shukurani
kwa mlipa kodi ambayo yamefanyika katika uwanja wa Zimamoto Nguzonane Manispaa
ya Shinyanga.
Viongozi mbalimbali wakiwa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya shukurani
kwa mlipa kodi ambayo yamefanyika katika uwanja wa Zimamoto Nguzonane Manispaa
ya Shinyanga.
Viongozi mbalimbali wakiwa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya shukurani
kwa mlipa kodi ambayo yamefanyika katika uwanja wa Zimamoto Nguzonane Manispaa
ya Shinyanga.
Viongozi mbalimbali wakiwa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya shukurani
kwa mlipa kodi ambayo yamefanyika katika uwanja wa Zimamoto Nguzonane Manispaa
ya Shinyanga.
MC Mzungu mweusi akizungumza katika kilele cha maadhimisho ya siku ya shukurani
kwa mlipa kodi ambayo yamefanyika katika uwanja wa Zimamoto Nguzonane Manispaa
ya Shinyanga.
Watumishi wa TRA wakiwa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya shukurani
kwa mlipa kodi ambayo yamefanyika katika uwanja wa Zimamoto Nguzonane Manispaa
ya Shinyanga.
Mwenyekiti wa TCCA Mkoa wa Shinyanga
Jonathan Manyama akizungumza kwenye kilele
cha maadhimisho ya siku ya shukurani kwa mlipa kodi ambapo amewaomba wafanyabiashara kuendelea kulipa kodi kwa hiyari.
Baadhi ya walipa kodi wakifuatilia kilele cha maadhimisho ya siku ya
shukurani kwa mlipa kodi ambayo yameandaliwa na TRA Mkoa wa Shinyanga.
Baadhi ya walipa kodi wakifuatilia kilele cha maadhimisho ya siku ya
shukurani kwa mlipa kodi ambayo yameandaliwa na TRA Mkoa wa Shinyanga.
Baadhi ya walipa kodi wakifuatilia kilele cha maadhimisho ya siku ya
shukurani kwa mlipa kodi ambayo yameandaliwa na TRA Mkoa wa Shinyanga.
Watumishi wa TRA wakiwa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya shukurani
kwa mlipa kodi ambayo yamefanyika katika uwanja wa Zimamoto Nguzonane Manispaa
ya Shinyanga.
Mstahiki meya wa Manispaa ya Shinyanga
Elias Ramadhan Masumbuko akiwaomba wafanyabiashara kuendelea kulipa kodi kwa
hiyari.
Viongozi mbalimbali wakiwa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya shukurani
kwa mlipa kodi ambayo yamefanyika katika uwanja wa Zimamoto Nguzonane Manispaa
ya Shinyanga.
Mwakilishi wa mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mgeni
rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kahama Bi. Mboni Mhita akiipongeza TRA Mkoa wa
Shinyanga kwa kutambua mchango wa walipakodi.
Mwakilishi wa mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mgeni
rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kahama Bi. Mboni Mhita akiipongeza TRA Mkoa wa
Shinyanga akiwakumbusha wakazi wa Mkoa wa Shinyanga kuendelea kulipa kodi kwa hiyari.
Afisa elimu na mawasiliano kwa mlipakodi
Semeni Mbeshi akitaja majira ya washindi wanaopokea tuzo kwenye kilele cha maadhimisho hayo.
Mwakilishi wa mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mgeni
rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kahama Bi. Mboni Mhita akikabidhi tuzo na zawadi kwa
walipa kodi wa Mkoa wa Shinyanga.

rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kahama Bi. Mboni Mhita akiendelea na zoezi la kukabidhi tuzo na zawadi kwa
walipa kodi wa Mkoa wa Shinyanga.
Mwakilishi wa mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kahama Bi. Mboni Mhita akiendelea na zoezi la kukabidhi tuzo na zawadi kwa walipa kodi wa Mkoa wa Shinyanga.

Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kahama Bi.
Mboni Mhita akikabidhi tuzo Mwakilishi kituo cha matangazo Redio faraja Fm
Getruda Thomas kwenye hafla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya shukurani kwa
mlipa kodi iliyoandaliwa na TRA Mkoa wa Shinyanga.

Mboni Mhita na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na washindi wa
tuzo.

Picha ya pamoja kwenye maadhimisho ya siku
ya shukurani kwa mlipa kodi iliyoandaliwa na TRA Mkoa wa Shinyanga.