Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm taifa mlao asherehekea sikukuu ya eid el-fitri na watoto buhangija manispaa ya shinyanga

Na Mapuli Misalaba,
Shinyanga

Mjumbe wa Halmashauri kuu
ya chama cha mapinduzi CCM Taifa Bwana Ramadhan Mlao leo ametoa msaada wa
vyakula na vitu mbalimbali kwenye kituo cha watoto wenye mahitaji maalum shule
ya msingi Buhangija jumuishi iliyopo Manispaa ya Shinyanga.

Vitu vilivyotolewa leo
April 21,2023  ni pamoja na Mchele,
Mafuta ya kupikia,Juice pamoja na  Mbuzi
wawili.

Msaada huo umekabidhiwa
na Katibu wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM Mkoa wa Shinyanga
Bwana Raphael Nyandi huku akiwa ameongozana na viongozi wengine akiwemo katibu
wa mbunge wa jimbo la Shinyanga Bwana Samwel Jackson, Mjumbe wa Baraza kuu
UVCCM Taifa Monalisa Daniel pamoja na katibu wa UVCCM Wilaya ya Shinyanga mjini Faraji Katalambula.

Akizungumza katibu wa
UVCCM Mkoa wa Shinyanga Bwana Raphael Nyandi amesema lengo la msaada huo ni kuhakikisha
wanafunzi wa shule ya msingi Buhangija kesho April 22,2023 wanaungana na
waumini wa Dini ya Kiislam  ulimwenguni
kusherehekea sikukuu ya Eid El-Fitri.

Bwana Nyandi ametumia
nafasi hiyo kuwasihi wanafunzi wa shule ya msingi Buhangija kusoma kwa bidii
ili kufikia malengo waliyojiwekea.

Kwa upande wake mlezi wa
wanafunzi wa shule ya msingi Buhakija Mwalimu Mashinde Daud ameshukuru kwa
kupokea msaada huo ambao umetolewa na mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa
Bwana Ramadhan Mlao

Nao baadhi ya wanafunzi
wa shule ya msingi Buhangija wamemshukuru mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM
Taifa Bwana Ramadhan Mlao kwa kutoa msaada wa vyakula na vitu mbalimbali.

Katibu wa UVCCM Mkoa wa
Shinyanga Bwana Raphael Nyandi akizungumza leo April 21,2023 katika hafla ya
kukabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali vilivyotolewa na mjumbe wa
Halmashauri kuu ya CCM Taifa Bwana Ramadhan Mlao kwa wanafunzi katika kituo cha
watoto wenye mahitaji maalum shule ya msingi Buhangija Manispaa ya Shinyanga.

Katibu wa mbunge wa jimbo
la Shinyanga Bwana Samwel Jackson akizungumza leo April 21,2023 katika hafla ya
kukabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali vilivyotolewa na mjumbe wa
Halmashauri kuu ya CCM Taifa Bwana Ramadhan Mlao kwa wanafunzi katika kituo cha
watoto wenye mahitaji maalum shule ya msingi Buhangija Manispaa ya Shinyanga.

Katibu wa mbunge wa jimbo
la Shinyanga Bwana Samwel Thobias akizungumza leo April 21,2023 katika hafla ya
kukabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali vilivyotolewa na mjumbe wa
Halmashauri kuu ya CCM Taifa Bwana Ramadhan Mlao kwa wanafunzi katika kituo cha
watoto wenye mahitaji maalum shule ya msingi Buhangija Manispaa ya Shinyanga.

Mjumbe wa Baraza kuu
UVCCM Taifa Monalisa Daniel akizungumza leo April 21,2023 katika hafla ya
kukabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali vilivyotolewa na mjumbe wa
Halmashauri kuu ya CCM Taifa Bwana Ramadhan Mlao kwa wanafunzi katika kituo cha
watoto wenye mahitaji maalum shule ya msingi Buhangija Manispaa ya Shinyanga.

Katibu wa UVCCM Wilaya ya
Shinyanga mjini Faraji Katalambula akizungumza leo April 21,2023 katika hafla ya
kukabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali vilivyotolewa na mjumbe wa
Halmashauri kuu ya CCM Taifa Bwana Ramadhan Mlao kwa wanafunzi katika kituo cha
watoto wenye mahitaji maalum shule ya msingi Buhangija Manispaa ya Shinyanga.

Katibu wa UVCCM Mkoa wa
Shinyanga Bwana Raphael Nyandi akizungumza na mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM
Taifa Bwana Ramadhan Mlao kwa njia ya simu kabla ya kukabidhi msaada kwa
wanafunzi katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalum shule ya msingi
Buhangija Manispaa ya Shinyanga.

Shinyanga Bwana Raphael Nyandi akiongoza zoezi la kukabidhi msaada kwa
wanafunzi wa shule ya msingi Buhangija ambapo msaada huo umetolewa na mjumbe wa
Halmashauri kuu ya CCM Taifa Bwana Ramadhan Mlao kwa ajilia ya kusherehekea
sikukuu ya Eid El-Fitri.

Katibu wa UVCCM Mkoa wa Shinyanga Bwana Raphael Nyandi upande wa kulia akiongoza zoezi la kukabidhi msaada huo kwa wanafunzi wa shule ya msingi Buhangija ambapo msaada huo umetolewa na mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Bwana Ramadhan Mlao kwa ajilia ya kusherehekea sikukuu ya Eid El-Fitri.

Katibu wa UVCCM Mkoa wa
Shinyanga Bwana Raphael Nyandi upande wa kulia akiongoza zoezi la kukabidhi msaada huo kwa