Mkutano wa 39 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unatarajiwa kwanza leo tarehe 27 Novemba 2019 jijini Arusha.
Kuanza
kwa mkutano huo kunafuatia kukamilika kwa Mkutano wa ngazi ya Makatibu
Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya hiyo ulioanza tarehe 25 na kumalizika
tarehe 26 Novemba 2019.

Mkutano
wa Makatibu Wakuu pamoja na mambo mengine, umejadili masuala
mbalimbali ya utekelezaji ya jumuiya ya Afrika Mashariki na kutoa
mapendekezo kwa mkutano wa ngazi ya Mawaziri wa Wizara za Kisekta
zinazohusiana na Jumuiya hiyo utakaoanza tarehe 27 Novemba 2019.

huu wa 39 wa Baraza la Mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki umeandaliwa kwa lengo la kujadili na kukubabaliana na agenda
zitakazowasilishwa kwenye Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya hiyo
utakaofanyika Februari, 2020.