Mkuu wa mkoa wa dar es salaam paul makonda, mkuu wa mkoa wa manyara alexander mnyeti wachukua fomu kuwania ubunge

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti akichukua fomu ya kugombea ubunge


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo Julai 15 amechukua Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM.