TAKUKURU
Mkoani Dodoma wanamshikilia Mkuu wa Shule ya Sekondari Serengeti
iliyopo Serengeti Mkoani Mara, Baraka Sabi kwa tuhuma za kuomba rushwa
ya ngono kwa Mwanafunzi aliyemaliza kidato cha sita katika shule hiyo
ili ampatie cheti chake cha kuhitimu.

Akiongea
na Waandishi wa Habari leo Jumapili, Kamanda Wa Takukuru Mkoa wa
Dodoma Sosthenes Kibwengo amesema wamemkamata Mkuu huyo wa shule kwa
kushirikiana na Mwanafunzi aliyeombwa rushwa ya ngono Mkazi wa Dodoma
ambaye alihitimu mwaka 2016 na alikuwa anataka cheti aombee kazi

“Mwalimu
Baraka alimwambia Mwanafunzi asipate shida ya kwenda Serengeti yeye ana
safari ya kuja Dodoma katika Mkutano wa Wakuu wa Shule na atakuja na
cheti, walipokutana akaomba rushwa ya ngono ndipo ampe cheti, Msichana
akaomba udhuru na kuahidi kurejea, kisha akatutonya” -Amesema Kibwengo

Amesema baada ya kupokea taarifa hiyo waliweka mtego na kufanikiwa kumkamata akiwa na mtoa taarifa kabla yakufanya tendo hilo.
Amesema
Takukuru walifanikiwa kuchukua cheti hicho na uchunguzi wa awali
unaendelea kwa mujibu wa sheria na hatua stahiki zitachukuliwa baada ya
kukamilika.