Naibu
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula Akizungumza na viongozi wa wilaya ya Ukerewe pamoja na Watumishi wa Shamba la Miti la Rubya katika wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza alipokwenda kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za watumishi zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jana |
Naibu
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula
Akielekea kukagua moja ya nyumba za watumishi wa Wakala wa Huduma za
Misitu Tanzania (TFS) katika shamba la Misitu la Rubya lililoko Ukerewe
wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za
watumishi zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jana. Wa pili
kulia ni Meneja wa NHC Mwanza Fadhili Ntahana na kulia ni Katibu Tawala
Wilaya ya Ukerewe Focus Majambi

wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo
ya ujenzi wa nyumba za watumishi zinazojengwa na Shirika la Nyumba la
Taifa (NHC) jana. Kushoto kwa Naibu Waziri wa Ardhi ni Meneja wa Shirika
la Nyumba mkoa wa Mwanza na Geita Fadhili Ntahana

Akiangalia maendeleo ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa Wakala wa
Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika shamba la Misitu la Rubya
lililoko Ukerewe wakati wa ziara yake ya kukagua ujenzi wa nyumba hizo zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jana.

………………………
Na Munir Shemweta, WANMM UKEREWE
Naibu
Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula
ametaka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kuhakikisha inalipima
na kupatiwa hati shamba lake la Miti la Rubya lenye ukubwa wa hekta
1,926.3 lililopo kijiji cha Bugula tarafa ya Ilangala kisiwa cha Ukerewe
mkoani Mwanza.

Dkt
Mabula alitoa kauli hiyo jana wakati alipokwenda kukagua ujenzi wa
nyumba za watumishi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania unaofanywa na
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakati akiwa katika ziara yake ya siku
moja katika kisiwa cha Ukerewe kufuatilia utendaji kazi wa sekta ya
ardhi katika hamashauri za mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Alisema,
kinachohitajika sasa kwa Wakala wa Huduma za Misitu ni kuhakikisha
shamba hilo la Miti la Rubya linapimwa na kupatiwa hati itakayoonesha
mipaka halisi ya shamba hilo ili kuepuka migogoro ya ardhi.

‘’Miji
inakuwa kuwa na wananchi bado wanahitaji maeneo bila kuwa na hati
inaoonesha mipaka ya shamba kunaweza kuleta migogoro na tuelewe hati
inalinda mipaka ya shamba lisivamiwe na wananchi’’ alisema Dokt Mabula

Pamoja
na kuagiza kupimwa hilo, Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya
Makazi aliagiza pia eneo la shamba kuwa Mpango Kina utakaonesha kila
matumizi ya sehemu ya ardhi ya shamba hilo kwa kuwa katika eneo hilo
mbali na shamba la misitu lakini kuna makazi ya watu.

Kwa
upande wake Meneja wa Shamba la Miti la Rubya wilayani Ukerewe Festo
Chaula alimueleza Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba an Maendeleo ya Makazi
kuwa, Shamba la Miti la Rubya ni miongoni mwa mashamba 23 yanayomilikwa
na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania lililoanzishwa mwaka 1951 kwa
Tangazo la Serikali Namba 230.

pamoja na shamba hilo la Rubya pia Wakala inalo eneo lingine lilipandwa
miti kwa ubia na halmashauri ya wilaya ya Ukerewe lenye ukubwa wa hekta
1,152 ambapo miti iliyopandwa eneo hilo ni ya Misindano.

mujibu wa Chaula, katika kuboresha makazi ya watumishi wa wakala wa
Huduma za Misitu TFS katika mwaka huu wa fedha 2019/2020 TFS imetenga
zaidi ya milioni 383.8 kwa ajii ya ujenzi wa nyumba tatu, tenki la
kuhifadhia maji, ukarabati wa nyumba mbili na ujenzi wa uzio wa bustani
ya miti ambapo ujenzi wa nyumba tatu ulianza Agosti mwaka huu.

Katika Hatua Nyingine
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula
ameitaka halmashauri ya wilaya ya Ukerewe kufanya zoezi la upimaji
maeneo katika halmashauri hiyo kama operesheni maalum ili kuondoa
migogoro ya ardhi sambamba na kuondoa ujenzi holela.

Akizungumza
na Madiwani pamoja na Watumishi wa Sekta ya Ardhi katika halmashauri
hiyo, Dkt Mabula alisema tayari halmashauri hiyo inavyo vifaa vya
upimaji inachotakiwa kwa sasa katika kuharakisha zoezi hilo ni
kuwasiliana na Ofisi ya Ardhi Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kupatiwa
Wapimaji.

Hata
hivyo, Dkt Mabula alishangazwa na halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe
kutokuwa na kijiji chenye mpango wa matumizi bora ya ardhi wakati
asilimia kumi ya kisiwa hicho ni ardhi ya nchi kavu. Halmashauri kerewe
ina jumla ya vijiji 73 ambapo Naibu Waziri aliwataka Madiwani wa
Halmashauri ya Ukerewe kuhakikisha inapanga mpango wa matumizi bora ya
ardhi kwa vijiji vyake ili kuainisha matumizi mbalimbali ya vijiji
hivyo.

Mwenyekiti
wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe George Nyamaha alieleza kuwa
halmashauri yake imekuwa na chanagmoto kubwa ya upungufu wa wataalamu wa
sekta ya rdhi jambo alilolieleza kuwa linasababisha idara hiyo
kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo.