Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA),
limeyafuta matokeo ya watahiniwa 909, waliobainika kufanya udanganyifu
katika Mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi na kuagiza mamlaka
kuwachukulia hatua, wale wote waliohusika kufanya udanganyifu katika
mitihani hiyo.

Taarifa hiyo imetolewa leo Oktoba 15,
2019 na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt Charles Msonde, wakati
akitangaza matokeo ya Darasa la Saba kwa mwaka 2019, ambapo ufaulu
umepanda kwa asilimia 3.78, ukilinganisha na mwaka 2018.

Aidha tathmini ya awali ya matokeo hayo
imeonesha kuwa ufaulu katika somo la Kiingereza bado uko chini,
ukilinganishwa na masomo mengine licha ya kuwa unaendelea kuimarika
mwaka hadi mwaka na kwamba juhudi za makusudi zinahitajika ili kuinua
kiwango cha ufaulu wa somo hilo.

Jumla ya watahiniwa 947,077 wa Shule za
Msingi walisajiliwa kufanya mtihani huo, wakiwemo wasichana 495,937,
sawa na asilimia 52.37 na wavulana 451,140 sawa na asilimia 47.63, huku
watahiniwa wenye mahitaji maalumu wakiwa 2678 sawa na asilimia 0.23