Pemba: maalim seif na salim bimani watuhumiwa kufanya mkutano bila kibali

Mshauri
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad na Mwenyekiti
wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho, Salim Bimani wametuhumiwa kufanya
Mkutano bila kibali mnamo Desemba 2019, huko Micheweni Zanzibar

Hata
hivyo, Viongozi hao wameachiwa kwa dhamana na Chama chao kupitia
Mtandao wa Twitter kimedai walifanya Mkutano wa ndani usiohitaji kibali
Viongozi
hao waliripoti Polisi asubuhi ya leo kuitikia wito wa Mkuu wa Upelelezi
wa Makosa ya Jinai (RCO) wa Mkoa wa Kaskazini Pemba