Picha: cag mpya akabidhiwa ofisi rasmi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mpya Charles
Kichere, aliyeapishwa jana Novemba 04, amekabadhiwa ofisi na Mtangulizi
wake Prof. Mussa Assad leo Novemba 05, katika makao makuu ya ofisi hiyo
yaliyopo jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mpya Charles
Kichere, aliyeapishwa jana Novemba 04, akikabidhiwa Rasmi ofisi na Prof.
Mussa Assad aliyemaliza muda wake leo Novemba 05, 2019 katika makao
makuu ya ofisi hiyo yaliyopo jijini Dar es Salaam.