Kamishna
Msaidizi wa Jeshi la Polisi mkoani Rukwa, Justine Matejo, amethibitisha
kutokea kwa matukio mawili ya vifo ambavyo vimesababishwa kwa mvumo wa
radi, hali iliyopelekea watu watatu kufariki Dunia.

RPC
Rukwa amesema, wamepokea taarifa hizo za matukio mawili tofauti ambalo
moja lilitokea Novemba 23 saa 8:30 mchana, na lingine ni Novemba 19.

“Ni
kweli kuna taarifa ambazo tumezipata kwamba huko maeneo ya Namanyele
kuna kijiji kinaitwa Mwai, kuna watu wawili wamepigwa radi ambao
walikuwa wamejihifadhi chini ya mti, hivyo radi ikapiga mti na watu hao
wakapoteza maisha, watu hao ni Japhet Gerrald (25) na mtoto Peter
Richard (8)” amesema

“Kuna
tukio lingine ambao ni la muda lilitokea Novemba 19, maeneo ya kijiji
cha Lahela Mume na Mke ambao walikuwa wamelala, kwa bahati mbaya radi
ilipiga ila aliyefariki alikuwa ni Mke” ameongeza

Aidha
RPC Rukwa ametoa rai kwa wakazi wa mkoani humo kwa kuchukua tahadhari
kuwa wasikae katika miti kwa sababu inakuwa ni tatizo.