Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti akimpa pole mmoja kati ya wagonjwa waliokuwa wamelazwa kwenye hospitali ya Mji wa Mbulu alipofanya ziara ya ghafla. |
MKUU wa Mkoa wa
Manyara, Alexander Mnyeti katika hali isiyo ya kawaida amefanya ziara ya
kushtukiza katika hospitali ya Mji wa Mbulu kwa lengo la kubaini namna
wagonjwa wanavyohudumiwa.

RC Mnyeti alifika
kwenye hospitali hiyo mara mbili jana alasiri na saa tisa usiku bila
uongozi wa hospitali wala wagonjwa kutambua kuwa ni mkuu wa mkoa
amewatembelea ghafla.

Awali, alifika
alasiri na gari lake bila bendera na kutembelea wodi walikolazwa
wagonjwa na kuzungumza nao ili kutambua namna wanavyopatiwa huduma.

Alizungumza pia na
wauguzi waliokuwepo ambapo aliwahoji namna wanavyotoa huduma ikiwemo
lugha nzuri kwa wagonjwa ili wapate faraja wakati wakitibiwa.

Akizungumza na
wananchi wa kijiji cha Gedamar alisema lengo lake lilikuwa ni kujua
namna wagonjwa wanavyohudumiwa kuliko kusubiri kuambiwa.

“Nimefika hospitali
na kukuta baadhi ya mapungufu yafanyiwe kazi, wauguzi usiku inakuwa
shida kuhudumia wagonjwa, nimeshuhudia mwenyewe,” alisema Mnyeti.

Alisema dirisha la
wazee inaonyesha wameweka karatasi muda siyo mrefu baada ya kupata
taarifa ya yeye kuanza ziara wilayani Mbulu.

Hata hivyo, mkuu wa wilaya ya Mbulu Chelestino Mofuga alisema wanayapokea mapungufu hayo na kuhakikisha watayafanyia kazi.
“Tunakuahidi kuwa
mapungufu hayo madogo tumeyachukua na tunakuhakikishia kuwa yatafanyiwa
kazi ili yasijirudie tena,” alisema Mnyeti.

Mmoja kati ya
wagonjwa waliokuwa kwenye hospitali hiyo John Tsere alisema kitendo cha
mkuu wa mkoa kutembelea kwa kushtukiza hospitalini hapo kitaongeza
uwajibikaji kwa wauguzi na madaktari.

“Amefika bila polisi
wala viongozi wa wilaya na amevaa nguo za kawaida yaani huwezi kubaini
kama ni mkuu wa mkoa wakati mwingine ni vizuri kufanya hivyo ili uone
mwenyewe kuliko kusomewa taarifa,” alisema Tsere.

Mnyeti yupo kwenye
ziara ya siku nne wilayani Mbulu ya kukagua miradi ya maendeleo,
kuzungumza na wananchi na kusikiliza changamoto na kero zao ili
kuyapatia majawabu.