Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameliagiza
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara kuwakamata Viongozi wa Vyama vya Msingi
vya Ushirika wanaotuhumiwa kukimbia na Kiasi cha Shilingi Bilioni 1.2/=
za wakulima ambazo ni madeni ya Korosho.

Ametoa
kauli hiyo leo wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Newala
katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Viwanja vya Stendi Kuu baada ya
kupokea Ripoti ya Jumla ya Madeni wanayodai wakulima katika Wilaya za
Mtwara, Masasi, Nanyumbu, Newala na Tandahimba.

“Nilivyofika
hapa Mtwara jambo la kwanza lilikuwa kumuuliza Kamanda wa Polisi wa
hapa juu ya utekelezaji wa agizo la Mheshimiwa Rais alilolitoa siku za
hivi karibuni alipokuwa ziara na kuagiza kukamatwa kwa viongozi wawili
wa vyama vya msingi vya ushirika wanaodaiwa fedha za korosho na
wakulima, ameniambia walitekeleza agizo na hao viongozi wawili tayari
wameanza kulipa hizo fedha,” amesema Masauni

Akizungumza
baada ya kupokea ripoti ya madeni kwa Wilaya zote za Mkoa wa Mtwara
Naibu Waziri Masauni amelitaka Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi
wengine katika wilaya zilizobakia za Mtwara, Newala, Masasi, Nanyumbu na
Tandahimba ambazo katika taarifa ya jumla ya mkoa inaonyesha takribani
Shilingi Bilioni 1.2 bado zinadaiwa na wakulima hao kutoka kwa viongozi
wa vyama hivyo.

“Mheshimiwa
Rais kwenye ziara yake aliishia wilaya ya Masasi lakini katika ripoti
hapa inaonyesha katika wilaya zingine wakulima pia wanadai fedha zao
ambacho ni kiasi kikubwa,nakuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara
kuwakamata viongozi wengine katika wilaya zilizobakia na hakikisha kiasi
hicho cha fedha cha wakulima hao kinalipwa,” amesema Masauni

Katika
taarifa hiyo iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara,Kamishna
Msaidizi Mwandamizi, Blasius Chitanda inaonyesha jumla ya Vyama vya
Ushirika 61 bado vinadaiwa na wakulima katika wilaya za Mtwara, Masasi,
Tandahimba na Newala kuanzia Msimu wa Korosho wa Mwaka 2015/2016 hadi
2017/2018.

Wakizungumza
kwa nyakati tofauti katika mkutano huo baadhi ya wakulima wanaodai
fedha zao waliiomba serikali kuhakikisha wanalipwa haki yao kwani madeni
hayo yamechukua muda mrefu hali inayopelekea kuzorotesha shughuli zao
za kuchumi huku familia zao zikipata taabu kutokana na fedha zao
kutopatikana kwa wakati.