Waziri
wa Afya, Maendeleo Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu,
ameeleza kuguswa na tukio la kupoteza wazazi wawili, na ndugu zake
watatu lililomkuta mwanafunzi Anna Zambi ambaye amemaliza kidato cha 4
hivi karibuni ambapo Waziri Ummy ameahidi ataenda kumjulia hali mtoto
huyo na kumpa salam za pole.

Ummy Mwalimu ametoa kauli hiyo kupitia ukurasa wake Twitter kufuatia
jana mtoto huyo kupelekwa mahali ambapo wazazi wake na ndugu zake
wamezikwa baada ya kufariki Dunia walipokuwa wakielekea kwenye Mahafali
yake ambapo walifariki Dunia wakiwa mkoani Tanga kutokana na mafuriko ya
maji.

Waziri Ummy ameandika kuwa; “Suala la mtoto Anna Zambi, Serikali kupitia
Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii tunachukua jukumu la kuratibu na
kusimamia psychosocial support ya mtoto huyu pamoja na ustawi wake kwa
ujumla, Katibu Mkuu Dkt. John Jingu leo ataitembelea familia yake
iliyopo Goba” – Waziri Ummy

Wazazi walikuwa wakifahamika kwa majina ya Lingston Zambi na Winifrida
Lyimo na wadogo zake watatu, Lulu, Andrew na Grace walikufa katika ajali
hiyo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji kutokana na
mvua kubwa iliyonyesha wilayani Handeni mkoani Tanga.