Tcra yawanoa mafundi simu kanda ya kaskazini

Mhandisi
wa wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini Kadaya Baluhye akizungumza na
Mafundi wa simu kutoka mkoa wa Arusha,Manyara na Kilimanjaro ambapo
aliwataka kuunda umoja wa kikanda leo tarehe 28/1/2020
Maguwa
Manyanda Mwenyekiti umoja wa Mafundi simu Kanda ya ziwa akizungumza
katika kikao cha Mafundi simu kulichoandaliwa na Mamlaka ya mawasiliano
TCRA
Mwanasheria kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) Kant Mosha akizungumza na Mafundi wa simu kutoka mkoa wa Arusha,Manyara na Kilimanjaro ambapo aliwataka kuunda umoja wa kikanda
Mmmoja wa washiriki wa mkutano huo akichangia mada katika mkutano huo wa mafundi simu uluioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano 
 Mhandisi
Jan Kaaya TCRA Kanda ya kaskazini ambaye amemuwakilisha Mkuu wa Kanda
ya Kaskazini Imelda Salum,akizungumza na Mafundi simu waliohudhuria
kuikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa mkuu wa mkoa leo.
Jemsi
Moshi mmoja wa Fundi simu mkoa wa Arusha ambae pia yupo kwenye kamati
ya uongozi wa katika kikao cha mafundi simu kilichoandaliwa na Mamlaka
ya Mawasiliano TCRA.
Joyce
Mmari fundi (simu)na Inyasi Mpaki ambae ni mwenyekiti wa mafundi simu
Manyara ambao pia ni washiriki  wa mkutano  ulioandaliwa na Mamlaka ya
Mawasiliano nchini Kanda ya Kaskazini lna kufanyika leo katika ukumbi wa
mkuu wa mkoa Jijini Arusha
Mhandisi
Jan Kaaya TCRA Kanda ya kaskazini akiwa ameshika jarida ambalo
amewataka  Mafundi simu waliohudhuria kukao hicho kulipitia na kuona
kanuni na taratibu pamoja na Maelezo ya kina kuhusiana na TCRA katika
mkutano kil
uliofanyika katika ukumbi wa mkuu wa mkoa leo.
Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa mafundi simu ulioandaliwa na Mamlaka ya
Mawasiliano Nchini Kanda ya Kaskazini uliofanyika leo Jijini Arusha
katika ukumbi nwa mkuu wa mkoa.
 Nasri
Ramadhani Mshana mwenyekiti wa Umoja wa Mafundi wa Simu Kanda ya
Kaskazini akizungumza na na Mafundi simu katika mkutano ulioandaliwa na
Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA
 Mhandisi
wa wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini Kadaya Baluhye akizungumza na
Mafundi wa simu kutoka mkoa wa Arusha,Manyara na Kilimanjaro ambapo
aliwataka kuunda umoja wa kikanda
 Mhandisi
wa wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini Kadaya Baluhye akizungumza na
Mafundi wa simu kutoka mkoa wa Arusha,Manyara na Kilimanjaro ambapo
aliwataka kuunda umoja wa kikanda
Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa mafundi simu ulioandaliwa na Mamlaka ya
Mawasiliano Nchini Kanda ya Kaskazini uliofanyika leo Jijini Arusha
katika ukumbi nwa mkuu wa mkoa leo tarehe 28/1/2020