Mwenyekiti wa CCM Wilayani Hanang’ Mkoani Manyara, Mathew Darema (kushoto) akinyanyua juu mkono wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha Wilayani Hanang’ Yuda Bwanjida aliyeondoka Chadema na kujiunga CCM. |
.
Mwenyekiti wa UVCCM
kata ya Balang’dalalu Mkoani Manyara, Emmanuel Gamasa akipeana mkono na
aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha Wilayani Hanang’ Yuda Bwanjida.

………………………
VIGOGO wawili wa
Chadema Wilayani Hanang’ wameondoka kwenye chama hicho na kujiunga na
CCM ili kuunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa na Rais John
Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti.

Vigogo hao akiwemo
Mwenyekiti wa Baraza la vijana la Chadema (Bavicha) wilaya ya Hanang’
Yuda Bwanjida na aliyegombea udiwani kwa Chadema mwaka 2015 kata ya
Balang’dalalu Daudi Mathayo walipokewa na Mwenyekiti wa CCM wilayani
Hanang’ Mathew Darema.

Bwanjida akizungumza
sababu za kujitoa Chadema, alisema zipo nyingi ikiwemo maendeleo mengi
yanayofanywa na Rais Magufuli na usimamizi wa mkuu wa mkoa huo Mnyeti.

Bwanjida alisema
baada ya kuona viongozi wa chama chake wameangukia kwenye uanaharakati
badala ya maendeleo aliamua kuachana nacho na kujiunga na CCM

“Nimejiunga na
kukutana na vijana wenzangu ambao tutashirikiana kufanya kazi za kijamii
kwani CCM ipo karibu na wananchi kupitia mikakati mbalimbali ya kutetea
wananchi wa Taifa hili kuliko kuwa kwenye chama cha uanaharakati,”
alisema.

Kwa upande wake,
Mathayo ambaye aligombea udiwani wa kata ya Balang’dalalu na kuangushwa
na Paulo Marmo (CCM) alisema anarudi CCM ili kuwaunga mkono Rais
Magufuli na Mnyeti katika kufanikisha maendeleo.

Mathayo alisema yale
mambo waliyokuwa wanapigia kelele wakiwa upinzani hivi sasa
yanatekelezwa na Rais Magufuli hivyo haoni umuhimu wa kumpinga.

Mwenyekiti wa jumuiya
ya umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) kata ya Balang’dalalu, Emmanuel
Gamasa aliwapongeza viongozi hao wa upinzani kwa kuondoka Chadema na
kujiunga na CCM.

“Nawakaribisha
viongozi hawa ambao kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 walitupa
changamoto kubwa na hivi sasa tutaendelea kujenga chama chetu kwa umoja
na upendo,” alisema Gamasa.

Mjumbe wa mkutano
mkuu wa UVCCM mkoani Manyara, Carol Gisimoy alisema viongozi hao wameona
mbali kwa kuondoka Chadema na kujiunga CCM kwani wananchi wengi
wanaiunga mkono.

“Hakuna mtu ambaye
aliwashawishi kujiunga na CCM ni wao wenyewe wameona maendeleo ya Rais
Magufuli na usimamizi mzuri wa mkuu wa mkoa Mnyeti wakaona hakuna sababu
ya kubaki upinzani,” alisema Gisimoy.

Mwenyekiti wa CCM wa
wilaya ya Hanang’ Mathew Darema alisema chama hicho kinazidi kupiga
hatua na wananchi wengi zaidi wanazidi kuwaunga mkono kutokana na
maendeleo yanayofanywa.

“Chini ya jemedari
wetu Rais Magufuli tunaendelea kutembea kifua mbele kutokana na
kuendelea kuungwa mkono katika kuwatumikia wananchi wa Tanzania,”
alisema Darema.