Mkurugenzi wa jiji la Dodoma
Godwin kunambi,akizungumza na viongozi wapya wa serikali za mitaa
waliochaguliwa katika uchaguzi uliofanyika Novemba 24,2019 mara baada ya
kuwaapisha leo.

Sehemu ya viongozi wapya wa
serikali za mitaa waliochaguliwa katika uchaguzi uliofanyika Novemba
24,2019,akila kiapo mara baada ya kuwaapisha leo na Mkurugenzi wa jiji
la Dodoma Godwin kunambi
serikali za mitaa waliochaguliwa katika uchaguzi uliofanyika Novemba
24,2019,akila kiapo mara baada ya kuwaapisha leo na Mkurugenzi wa jiji
la Dodoma Godwin kunambi
Mkurugenzi wa jiji la Dodoma
Godwin kunambi,akifafanua jambo kwa viongozi wapya wa serikali za
mitaa waliochaguliwa katika uchaguzi uliofanyika Novemba 24,2019 mara
baada ya kuwaapisha leo.

::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
Na.Alex Sonna,Dodoma.
Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Jiji la Dodoma Godwin kunambi amewataka viongozi wapya
waliochaguliwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa hivi karibuni
kuachana na tabia ya kujali maslahi yao binafsi badala yake waende
kutenda haki kwa wananchi waliowachagua na kwa kufanya hivyo itasawaidia
kuaminika kwa wananchi.

Kunambi ameyasema
hayo leo Jijini Dodoma wakati akiwaapisha viongozi wapya wa serikali za
mitaa ambao walichaguliwa Novemba 24,2019.

Mhe.Kunambi
amesema kuwa watakuwa na utaratibu wa kutoa tuzo kwa mitaa kumi kila
baada ya miezi sita katika Jiji la Dodoma kwani wanahitaji kuwa na
mfumo shirikishi kwa wananchi ili kila mwananchi katika mtaa wake awe
sehemu ya kusimamia sheria na taratibu zilizowekwa na serikali.

Hata
hivyo,amewataka viongozi hao wapya kutojikita kwenye tabia ya kuwatoza
fedha wananchi pindi wanapohitaji huduma ya mihuri huku wakiaswa pia
kutokuwa chanzo cha kuzalisha migogoro katika maeneo yao.

Awali akitoa
taarifa fupi ya mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa katka jiji
la Dodoma ulifanyika November 24,2019 Msimamizi wa uchaguzi Dikson
Kimaro ,amesema mitaa yote katika jiji la Dodoma iliweza kushiriki
katika hatua za awali za uchaguzi ambapo vyama vilivyoonesha kushiriki
uchaguzi huo ilikuwa ni chama cha mapinduzi CCM,ACT
WAZALENDO,CHADEMA,Alience for African formers party AFP, Chama cha
wananchi CUF,Chama cha umma CHAUMA pamoja na chama cha Demokrasia Makini
.

Aidha Bw.Kimaro
amesema kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mwaka huu ulisimamiwa na
kuendeshwa kwa kufuata sheria,kanuni za mitaa ngazi ya vijiji,vitongoji
na mitaa za mwaka 2019 na miongozo ya uchaguzi wa serikali za mitaa
iliyotolewa na ofisi ya Rais TAMISEMI .

Mwenyekiti wa Kata ya Kilimani
mtaa wa chinyoya Bw.Faustine Bendera aliye apishwa amesema kuwa kikubwa
nikwenda kuwatumikia wananchi kwa moyo wote ilikuendana na kazi ya Rais

“kikubwa ni kujituma n wananchi
watarajie maendeleo na tunachoomba ni ushirikiano maana hatuwezi kufanya
lolote pasipoi ushirikiano wa wananchi”amesema Bendera

Viongozi hao wa halmashauli ya
jiji la Dodoma wameapishwa ambao ni wenyeviti wa mitaa 222 nafasi za
wanawake 444 na nafasi za mchanganyiko 666.